Rais wa Tanzania akitokea Zanzibar nchi inabarikiwa sana

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru imezagaa kila kona ya Tanzania kama ni Mwenge basi wewe ndie Mwenge wenyewe, endelea kumulika.

Tatizo ni wale waliojaa ukabila na wazembe ambao Mwalimu Nyerere aliwapiga vita sana watu hawa ambao ni maadui wa maendeleo.

Raisi Samia kwa hapo ilipo usimuonee haya mvivu mzembe, wazururaji kwanza waache mpaka mambo yamekaa sawa na ajira zimekuwa za kumwaga. Hii utalianza baada ya mikakati ya miradi mikubwa mikubwa kuanza usajili wa wa Tanzania.

Kwenye uongozi wako naamini huenda ikafika siku Tanzania ikahitajia wafanyakazi kutoka nchi zingine. CCM mkija mara ingine tuwekeeni mgombea Uraisi kutoka ZANZIBAR.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hivi wanaosifu kwa mapambio ya hivi wapo hapa hapa Tz au wapo nje ya nchi maana hali halisi kwa wananchi ni ovyo amna rangi tumeacha kuona cost za maisha zipo juu kinomaa umeme hamna maji shida vifaa vya ujenzi hali tete sisi wakulima tuna mpango wa kulima kidogo kwa ajili ya msosi tu maza wenu anafanya nini alafu mtu anakuja na mapambio.
 
Back
Top Bottom