Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,474
- 286,922
Habari ndio kama mnavyoisoma, huyu alishakuwa mbunge huko kusini kwa miaka isiyo na idadi , alishakuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi , akahujumiwa kwenye kura zao za maoni huko CCM, ni mtu mzima hasa lakini leo naye kalamba uteuzi .
Hongera kwake.
Hongera kwake.