Wafahamu Political Victim kwa kila Awamu

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,792
28,434
Ndugu zangu habari,

Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo.

1. Oscar Salathiel Kambona, rafiki kipenzi wa J.K.Nyerere waliopendana na kutoshana kabla shetani hajavuruga urafiki wao. Sababu kubwa ya ugomvi wao ni struggle for power ingawa watoe walikuwa vizuri upstairs mwisho wa Siku mwenye power huwa mshindi.

2. Ali Hassan Mwinyi, kwenye utawala wake kwa kiasi kikubwa Victim alikuwa yeye mwenyewe- kwa kweli huyu mzee ni mvumilivu kutokana na kuokoto nafasi ya Urais alipigwa sana mabango na Mwl.Nyerere huku yeye ndio akiwa Mtawala.

Kama Nyerere angefanya hivi kwa MTU kama Magufuli nadhani. Angeonja mauti hata kabla ya ile miaka 77. Nimejaribu kupekenyua adui wake mkubwa ukimtoa Nyerere sijapata.

3. Jenerali Ulimwengu, wanasema hata uwe mzuri vipi huwezi kubalika na kila MTU hata uwe na cheo kiasi gani wapo watakaokuona kama Mavi. Jenerali ulimwengu ndio adui namba mmoja wa hayati Benjamin Mkapa-yeye alimuona Mkapa kama MTU mwenye uwezo mdogo mbinafsi, Mamluki, MTU ambaye hana weledi. Kimsingi waliwahi kufanya kazi pamoja na wanajuana vizuri pale ambapo kila MTU alikuwa anaogopa kukosoa utawala wa Mkapa yeye alikuwa anakosoa.

4. Edward Lowassa, huyu uvictim wake upo kwa njia mbili kwanza kwanza kutolewa kama kafala kwa kuanzishiwa zenge kwenye issue ya Richmond, pili kudanganywa na kipenzi chake. Lowassa na Kikwete urafiki wao hauna tofauti kama wa Kambona na Nyererei. Nadhani hata kiharusi alicho nacho Mzee Edward Lowassa ametokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na rafiki yake Kikwete.

watu wengi wanadhani Kikwete alipendwa sana kwenye chama kutokana na kukulia kwenye chama lakini ukweli wa Mambo ni Lowassa ndio alikuwa anapendwa zaidi kuliko Kikwete-Lowassa alianza namna ya kumondoa Kikwete chini kwa chini 2010 bahati mbaya aliyeshika Mpini ndio mwenye nguvu.

5. Tundu Lissu, baadhi ya maadui hapo juu walikuwa marafiki nahisi walioneana huruma kupotezana, fikiria kwa Lissu ambaye hawajawahi kuwa marafiki halafu kila Siku anakualibia CV yako unaonekan kila inachokifanya sio chochote. Sote tunajua muendelezo kati yake na Magufuli.
Kuna msemo wa Kiswahili adui mwombee njaa atalala mlango wazi wazi hata kama alikuwa shujaa-nadhani kama kuna MTU anaweza kufurahia kifo cha Magufuli ni Lissu. Hata wakati ambapo taifa zima tupo kwenye Giza kuhusu Magufuli yeye Lissu alifahamu kila kitu kuanzia kuumwa kwake hadi kufa kwake, ama kweli hapa Lissu anatufundisha usikae kizembe zembe lazima kufahami nyendo za adui yako.
 
2.Hussein Mwinyi,kwenye utawala wake kwa kiasi kikubwa Victim alikuwa yeye mwenyewe- kwa kweli huyu mzee ni mvumilivu kutokana na kuokoto nafasi ya Urais alipigwa sana mabango na Mwl.Nyerere huku yeye ndio akiwa Mtawala.
Kama Nyerere angefanya hivi kwa MTU kama Magufuli nadhani. Angeonja mauti hata kabla ya ile miaka 77.nimejaribu kupekenyua adui wake mkubwa ukimtoa Nyerere sijapata.
Ndio maana Mungu kampa maisha marefu yenye afya tele, furaha, amani, na mafanikio tele, kwake na vizazi vyake.
 
Jaribu kuwa makini, namba mbili hapo umechemka sana! Humjui hata Rais wa Awamu ya Pili?! Wewe Hussein Mwinyi alishakuwa Rais wa JMT?! Wewe ni " mweupe" sana kichwani kaa utulie!
 
Hussein Mwinyi lin alikuwa Rais wa Tz?
Jenerali Ulimwengu adui wa Mkapa? Seriously?
 
Ndugu zangu habari,

Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo.

1.Oscar Salathiel Kambona,rafiki kipenzi wa J.K.Nyerere waliopendana na kutoshana kabla shetani hajavuruga urafiki wao.Sababu kubwa ya ugomvi wao ni struggle for power ingawa watoe walikuwa vizuri upstairs mwisho wa Siku mwenye power huwa mshindi.

2.Hussein Mwinyi,kwenye utawala wake kwa kiasi kikubwa Victim alikuwa yeye mwenyewe- kwa kweli huyu mzee ni mvumilivu kutokana na kuokoto nafasi ya Urais alipigwa sana mabango na Mwl.Nyerere huku yeye ndio akiwa Mtawala.
Kama Nyerere angefanya hivi kwa MTU kama Magufuli nadhani. Angeonja mauti hata kabla ya ile miaka 77.nimejaribu kupekenyua adui wake mkubwa ukimtoa Nyerere sijapata.

3.Jenerali Ulimwengu,wanasema hata uwe mzuri vipi huwezi kubalika na kila MTU hata uwe na cheo kiasi gani wapo watakaokuona kama Mavi.Jenerali ulimwengu ndio adui namba mmoja wa hayati Benjamin Mkapa-yeye alimuona Mkapa kama MTU mwenye uwezo mdogo mbinafsi,Mamluki,MTU ambaye hana weledi.Kimsingi waliwahi kufanya kazi pamoja na wanajuana vizuri pale ambapo kila MTU alikuwa anaogopa kukosoa utawala wa Mkapa yeye alikuwa anakosoa.

4.Edward Lowassa,huyu uvictim wake upo kwa njia mbili kwanza kwanza kutolewa kama kafala kwa kuanzishiwa zenge kwenye issue ya Richmond,pili kudanganywa na kipenzi chake.Lowassa na Kikwete urafiki wao hauna tofauti kama wa Kambona na Nyererei.nadhani hata kiharusi alicho nacho Mzee Edward Lowassa ametokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na rafiki yake Kikwete.
watu wengi wanadhani Kikwete alipendwa sana kwenye chama kutokana na kukulia kwenye chama lakini ukweli wa Mambo ni Lowassa ndio alikuwa anapendwa zaidi kuliko Kikwete-Lowassa alianza namna ya kumondoa Kikwete chini kwa chini 2010 bahati mbaya aliyeshika Mpini ndio mwenye nguvu.

5.Tundu Lissu,baadhi ya maadui hapo juu walikuwa marafiki nahisi walioneana huruma kupotezana,fikiria kwa Lissu ambaye hawajawahi kuwa marafiki halafu kila Sikh anakualibia CV yako unaonekan kila inachokifanya sio chochote.Sote tunajua muendelezo kati yake na Magufuli.
Kuna msemo wa Kiswahili adui mwombee njaa atalala mlango wazi wazi hata kama alikuwa shujaa-nadhani kama kuna MTU anaweza kurahia kifo cha Magufuli ni Lissu. Hata wakati ambapo taifa zima tupo kwenye Giza kuhusu Magufuli yeye Lissu alifahamu kila kitu kuanzia kuumwa kwake hadi kufa kwake,ama kweli hapa Lissu anatufundisha usikae kizembe zembe lazima kufahami nyendo za adui yako.
Sio hussein mwinyi ni ali hassan mwinyi
 
Jeneral Twaha Ulimwengu.
Mkuu wa wilaya ya ilala zamani
Mbunge wa taifa wazazi
Rai ya jeneral.
Huyu hajawahi niangusha. Ni mwanapinduzi hasa
 
Ndugu zangu habari,

Kila awamu ya uongozi ina mtu mmoja maarufu ambaye anakuwa haendani kabisa na Mtawala aliyopo au waliendana badaye wakegeukana kisha kuathiliwa na matendo ya Mtawala huyo.

1. Oscar Salathiel Kambona, rafiki kipenzi wa J.K.Nyerere waliopendana na kutoshana kabla shetani hajavuruga urafiki wao. Sababu kubwa ya ugomvi wao ni struggle for power ingawa watoe walikuwa vizuri upstairs mwisho wa Siku mwenye power huwa mshindi.

2. Ali Hassan Mwinyi, kwenye utawala wake kwa kiasi kikubwa Victim alikuwa yeye mwenyewe- kwa kweli huyu mzee ni mvumilivu kutokana na kuokoto nafasi ya Urais alipigwa sana mabango na Mwl.Nyerere huku yeye ndio akiwa Mtawala.

Kama Nyerere angefanya hivi kwa MTU kama Magufuli nadhani. Angeonja mauti hata kabla ya ile miaka 77. Nimejaribu kupekenyua adui wake mkubwa ukimtoa Nyerere sijapata.

3. Jenerali Ulimwengu, wanasema hata uwe mzuri vipi huwezi kubalika na kila MTU hata uwe na cheo kiasi gani wapo watakaokuona kama Mavi. Jenerali ulimwengu ndio adui namba mmoja wa hayati Benjamin Mkapa-yeye alimuona Mkapa kama MTU mwenye uwezo mdogo mbinafsi, Mamluki, MTU ambaye hana weledi. Kimsingi waliwahi kufanya kazi pamoja na wanajuana vizuri pale ambapo kila MTU alikuwa anaogopa kukosoa utawala wa Mkapa yeye alikuwa anakosoa.

4. Edward Lowassa, huyu uvictim wake upo kwa njia mbili kwanza kwanza kutolewa kama kafala kwa kuanzishiwa zenge kwenye issue ya Richmond, pili kudanganywa na kipenzi chake. Lowassa na Kikwete urafiki wao hauna tofauti kama wa Kambona na Nyererei. Nadhani hata kiharusi alicho nacho Mzee Edward Lowassa ametokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na rafiki yake Kikwete.

watu wengi wanadhani Kikwete alipendwa sana kwenye chama kutokana na kukulia kwenye chama lakini ukweli wa Mambo ni Lowassa ndio alikuwa anapendwa zaidi kuliko Kikwete-Lowassa alianza namna ya kumondoa Kikwete chini kwa chini 2010 bahati mbaya aliyeshika Mpini ndio mwenye nguvu.

5. Tundu Lissu, baadhi ya maadui hapo juu walikuwa marafiki nahisi walioneana huruma kupotezana, fikiria kwa Lissu ambaye hawajawahi kuwa marafiki halafu kila Siku anakualibia CV yako unaonekan kila inachokifanya sio chochote. Sote tunajua muendelezo kati yake na Magufuli.
Kuna msemo wa Kiswahili adui mwombee njaa atalala mlango wazi wazi hata kama alikuwa shujaa-nadhani kama kuna MTU anaweza kufurahia kifo cha Magufuli ni Lissu. Hata wakati ambapo taifa zima tupo kwenye Giza kuhusu Magufuli yeye Lissu alifahamu kila kitu kuanzia kuumwa kwake hadi kufa kwake, ama kweli hapa Lissu anatufundisha usikae kizembe zembe lazima kufahami nyendo za adui yako.
Bashenga
 
Back
Top Bottom