kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU.
Naomba tujiulize maswali yafuatayo;
1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?
2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?
3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?
4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.
5. Ni upi msimamo wa Serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?