Shaka azindua kampeni za CCM jimbo la Ngorongoro

UGANDA

Member
Jul 24, 2017
71
75
UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Ijumaa 26 Novemba 2021, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, Kumnadi na kumuombea kura mgombea Ubunge jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai. Katika Tarafa ya Malambo kata ya Sale.
IMG-20211126-WA0113.jpg
IMG-20211126-WA0115.jpg
IMG-20211126-WA0120.jpg
IMG-20211126-WA0121.jpg
 
Pamoja na uanaccm wangu huyu dogo shaka anapwaya sana kila sehemu haiwezi

USSR
 
Uwanja huuu uwe kwa vyama vyotee ndo itapendeza. Ngoma cheza na wenzio ilituone ushindani sawaaa
 
Wanachagua nini huko ngorongoro?UCHAGUZI ndani ya Tanzania?mmmm labda wa kumchagua class monitor ,chaguzi za kusimamiwa na political deployments cadres wa chama dola ni upotevu wa fedha na muda
 
Hakuna uchaguzi kwa sasa, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kujitokeza kushiriki hilo zoezi la kishenzi. Hivyo wasipoteze fedha za wananchi kwa kuandaa zoezi ambalo tayari hawakubali kushindana.
 
Hana ushawishi lkn amemzidi polepole skills za uongozi. Mpolipoli polepole alikuwa naushamba flani kwenye uongozi.
Unajiposti unakata mauno alafu kesho unamkanya mzee mkongwe chamani kuhusu maadili
 
Hana ushawishi lkn amemzidi polepole skills za uongozi. Mpolipoli polepole alikuwa naushamba flani kwenye uongozi.
Unajiposti unakata mauno alafu kesho unamkanya mzee mkongwe chamani kuhusu maadili
Yani kwa akili yako ndogo Shaka a zaidi Polepole? Ila isiwe shida nishajua!!
 
Yani kwa akili yako ndogo Shaka a zaidi Polepole? Ila isiwe shida nishajua!!
Wewe kwa akili zako 0 unasemaje?? Shaka ananafuu kuliko huyo kigeugeu wa katiba,mzee wa vieite,anayepinga chanjo,anayejiposti mitandaoni anakata mauno na kurukaruka,mzee wa hela haijaiva,anayedhihaki neno nabii nakumtania nalo Lema kumwita nabii tito,aloafiki watumishi wasipande vyeo,alofanya viongozi wasiasa kufukuza wataalamu kisiasa,maRc na Madc kupiga/kufunga/kupora watu,kamati zasiasa kutisha na kutukana walimu wetu,wamachinga kuzagaa na kuua biashara rasmi za wenyemaduka,walovuruga biashara na kilimo cha biashara,kutesa wanasiasa upinzani etc.
Ukiwa poyoyo hutoona hayo utamsingizia MTU mmoja aloaga wakati hawa polipoli na bashiru ndiyo walisimamia Sera kwakuzunguka nchi nzima na kupongeza!!!
 
Mnatia aibu kuanzia juu mpaka chini. Hvi Shaka ni wa kulingalinisha na Polepole!!!!

Aibu!!!!!
 
UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Ijumaa 26 Novemba 2021, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, Kumnadi na kumuombea kura mgombea Ubunge jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai. Katika Tarafa ya Malambo kata ya Sale.
View attachment 2024639View attachment 2024640View attachment 2024641View attachment 2024642
Kwani wanagombea na nani si apitishwe tu, hii ni upotezaji wa fedha za chama chao na mda, ccm ilisha kufa inazikwa rasmi 2025 , nawashangaa wanao taka urais 2025 Kwamba wamezoea biashara ya miaka yote ,

Sasa nawambia tena 2025 utakua uchaguzi wa wivu mkubwa Sana KWa wenye inchi, Hata wakusnye majeshi yote ya Afrika Mashariki, nasema Kama Bwana anenavyo ,na sitoongelea swala hili tena,
 
Back
Top Bottom