Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Vioja vya Mahakama ya Tanzania

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,441
Reaction score
17,259
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
 
Binafsi najiuliza, kama jibu ni hilo, kwanini uamuzi huu hakuutoa siku ile ile alipokamatwa na diary?

Kwa maneno mengine, kama hoja ni shahidi kutumia au kutotumia hiyo diary, kwanini Jaji hakujikita kwenye hii hoja tangu siku ya kwanza shahidi huyo alipokutwa na diary mahakamani?

Angejikita kwenye hii hoja, si ingechukua dakika chache tu kutoa uamuzi kuhusu hili jambo?

Je,huu si ushahidi kwa Jaji ana upande kwenye hii kesi?
 
Adhabu yake ilikuwa ku mdisqualify shahidi na ushahidi wake wote aliotoa, sema wewe hilo linaathiri vipi mwenendo wa kesi.
Asante kwa ufafanuzi, kuweka mambo sawa naomba kifungu cha sheria kinachoeleza ufafanuzi wako huu. Natanguliza shukrani.
 
Hakuna vifungu kwenye sheria ya ugaidi. Kwa hiyo Msomi Mtobesya aliamua kutumia sheria ya ushahidi ya makosa ya jinai, na jaji hakupinga kutumia sheria hiyo. Vifungu pamoja na kesi za rejea za ndani na nje ya Tanzania, wakili amefafanua sana kwenye maelezo yake. Soma maelezo ya wakili, yana majibu yote ya maswali yako.
 
Kibaya zaidi haya maamzi ya hawa majaji wa mwendokasi yatakuwa yanatumiwa kama rejea katika maelfu na maelfu ya kesi siku zijazo!!
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
 
Jaji anayesikiliza kesi ya Mbowe ameendelea kuwashangaza wenye akili wote:

1) Anakiri kuwa shahidi kaingia na diary kizimbani, na diary hiyo siyo kitu kinachoruhusiwa kuingia nacho kuzimbani.

2) Anasema kuwa hakuna ushahidi unaoonesha kuwa shahidi aliitumia hiyo diary, na kwa sababu hiyo, hakuna kosa.

Kwa uelewawa wa huyo jaji ni sawa na kusema japo huruhusiwi kuingia na chochote kwenye chumba cha mtihani, lakini ukiingia nacho halafu hukukamatwa unakitumia, kosa la kutoruhusiwa kuingia na kitu hicho, linafutika!!

Note: Hivi kutotumia kitu kisichoruhusiwa kuingia nacho, kunafuta vipi kosa la kitoruhusiwa kuingia nacho? Hawa ndio majaji walioteuliwa na Marehemu!!
Kazi iendelee wallah...[emoji23]
 
Tunaposemwa tunaushi in a shit hole country tusihamaki,huu ni ukweli mchungu!huwezi kuwa na kitu kisichoruhusiwa kuwepo kwenye ile sehemu!kuwa nacho ni tayari upo upande wa pili wa sheria na hii MAHAKAMA zetu ni playing ground ya politicians!majaji wote wawe wanatuma maombi ili kuwa majaji sio kusubiri neema za no 1!hawana kabisa ile impartiality katika maaumuzi yao.na wakifa watapewa sifa lukuki wakati wana mikono ya kushetani
 
Tunachanganyamo na weledi wa kitanzania ule wa wanakijani
 
Unakamatwa na cocaine airport unaambiwa sio kosa kwa sababu hukukamatwa unavuta au kuuza!nchi kichaa sana hii
Unakamatwa na bangi unaambiwa sio kosa kwa kuwa hukukamatwa ukiivuta
Asante sana wakuu, mmeibua hoja nzito sana. Kuna uwezekano kesi hii ikafungua njia za matumizi mabaya sheria siku zijazo ili kumaliza kizazi hiki na vijavyo. Mliyoeleza lazima yawastue wote wenye nia njema na Tanzania hasa tuliowakabidhi majukumu ya kulinda uwepo wa Tanzania hapa ulimwenguni kwa gharama yoyote ile.

Nyenzo inayotumika kuharibu nchi ni matumizi ya madawa ya kulevya yanayochochea upatikanaji haramu wa fedha zinazotumika kuvuruga jamii ya nchi moja hadi nyingine huku wauzaji na wasambazaji wakiendelea kukaa kwenye 'viti virefu' wakipunga kipupwe.

Kwa mara nyinge asante sana waleta hoja.
 
Asante kwa ufafanuzi, kuweka mambo sawa naomba kifungu cha sheria kinachoeleza ufafanuzi wako huu. Natanguliza shukrani.
Tukiwa tunasema Ukweli tutakuwa tunawasaidia sana hasa wanaosoma incase kama hawana Uelewa wa kinachoamuriwa na mahakama

(1) Jaji HAKUSEMA kuwa ni Makosa Shahidi kuwa na Diary mahakamani..
Kinyume na jinsi walivyotaka akina Kibatala.. Maana wao walisema Kizimbani huwepo Biblia Au Quran tu.. Lakini Ukweli ni zaidi ya Hivyo maana Hata VIELELEZO Shahidi aweza kuwa navyo AKISUBIRI UAMZI wa Kuruhusiwa kuvitumia.

Sheria inaposema Shahidi anaweza KUJIKUMBUSHA kwenye Diary yake maana yake alikuwa nayo,, muda wa Kujikumbusha siyo Kwamba ndipo atoke Kizimbani kwenda kuitafuta Diary yake.. Anakuwa nayo hapo. Bali anasubili Ruhusa ya mahakama/Jaji

(2)Hadi Kibatala Ana raise Hiyo Hoja Shahidi alikuwa HATUMII HIYO DIARY katika kutoa Ushahidi.. Tangu anaongozwa Na wakili wa Serikali hadi mapingamizi yanaanzia HAKUNA sehemu aliyoonekana Akiitumia Hiyo Diary

NINI ALIKOSEA SHAHIDI?? Ni kuifunua na Kuanza Kuandika yale yaliyokuwa Yanaendelea BILA RUHUSA YA MAHAKAMA.. Hilo Ndilo VIOLATION ambayo Jaji amezungumzia..
TUWE WAKWELI

(3) Kile walichokwenda Kusoma/Kuangalia ni je hayo aliyokuwa ameandika yanahusiana/Yanaharibu mwendelezo wa Kesi na Utoaji wa Ushahidi wake?? Na hapo Jaji ndipo aliunga Mkono hoja ya akina Kibatala kwenda Kuangalia kwenye Diary yake aliyokuwa anaandika/ameandika!!!!

(3) Sheria ya Ushahidi waliyoitumia akina Kibatala HAKUNA sehemu/Kifungu kinachosema Shahidi akikutwa na Diary basi aondolewe kuwa Shahidi, bali sheria imesema ni issue za Umri mdogo Au Mkubwa,, insanity SIYO kukutwa Na diary

Mifano inayotolewa eti mtu akikutwa na Desa AMBALO HALITUMII Chumba cha Mitihani inakuwaje!! .. Ni issue ambayo Haina relevance Hata kidogo..
MTAHINIWA HAWEZI KUONDOLEWA chumba Cha Mitihani Bali hilo Desa huchukuliwa na yeye kuruhusiwa kuendelea na Mtihani. Kisha huwa attached katika ripoti ya wasimamizi ili kusaidia kufikia uamzi Kulingana na Matokeo yake.

Narudia, Tuwasaidie wanaotusikiliza/Wanaosoma majibu yetu ili Hata uamzi unapotoka tusiwapotoshe.
 
1637150551700.png
 
Tunaposemwa tunaushi in a shit hole country tusihamaki,huu ni ukweli mchungu!huwezi kuwa na kitu kisichoruhusiwa kuwepo kwenye ile sehemu!kuwa nacho ni tayari upo upande wa pili wa sheria na hii MAHAKAMA zetu ni playing ground ya politicians!majaji wote wawe wanatuma maombi ili kuwa majaji sio kusubiri neema za no 1!hawana kabisa ile impartiality katika maaumuzi yao.na wakifa watapewa sifa lukuki wakati wana mikono ya kushetani
KATIBA mpya ni lazima
 
Narudia, Tuwasaidie wanaotusikiliza/Wanaosoma majibu yetu ili Hata uamzi unapotoka tusiwapotoshe.
Asante sana. Kwa ufafanuzi. Hakika umenifungua macho na kuona kinachoendelea huko.
 
Tukiwa tunasema Ukweli tutakuwa tunawasaidia sana hasa wanaosoma incase kama hawana Uelewa wa kinachoamuriwa na mahakama

(1) Jaji HAKUSEMA kuwa ni Makosa Shahidi kuwa na Diary mahakamani..
Kinyume na jinsi walivyotaka akina Kibatala.. Maana wao walisema Kizimbani huwepo Biblia Au Quran tu.. Lakini Ukweli ni zaidi ya Hivyo maana Hata VIELELEZO Shahidi aweza kuwa navyo AKISUBIRI UAMZI wa Kuruhusiwa kuvitumia.

Sheria inaposema Shahidi anaweza KUJIKUMBUSHA kwenye Diary yake maana yake alikuwa nayo,, muda wa Kujikumbusha siyo Kwamba ndipo atoke Kizimbani kwenda kuitafuta Diary yake.. Anakuwa nayo hapo. Bali anasubili Ruhusa ya mahakama/Jaji

(2)Hadi Kibatala Ana raise Hiyo Hoja Shahidi alikuwa HATUMII HIYO DIARY katika kutoa Ushahidi.. Tangu anaongozwa Na wakili wa Serikali hadi mapingamizi yanaanzia HAKUNA sehemu aliyoonekana Akiitumia Hiyo Diary

NINI ALIKOSEA SHAHIDI?? Ni kuifunua na Kuanza Kuandika yale yaliyokuwa Yanaendelea BILA RUHUSA YA MAHAKAMA.. Hilo Ndilo VIOLATION ambayo Jaji amezungumzia..
TUWE WAKWELI

(3) Kile walichokwenda Kusoma/Kuangalia ni je hayo aliyokuwa ameandika yanahusiana/Yanaharibu mwendelezo wa Kesi na Utoaji wa Ushahidi wake?? Na hapo Jaji ndipo aliunga Mkono hoja ya akina Kibatala kwenda Kuangalia kwenye Diary yake aliyokuwa anaandika/ameandika!!!!

(3) Sheria ya Ushahidi waliyoitumia akina Kibatala HAKUNA sehemu/Kifungu kinachosema Shahidi akikutwa na Diary basi aondolewe kuwa Shahidi, bali sheria imesema ni issue za Umri mdogo Au Mkubwa,, insanity SIYO kukutwa Na diary

Mifano inayotolewa eti mtu akikutwa na Desa AMBALO HALITUMII Chumba cha Mitihani inakuwaje!! .. Ni issue ambayo Haina relevance Hata kidogo..
MTAHINIWA HAWEZI KUONDOLEWA chumba Cha Mitihani Bali hilo Desa huchukuliwa na yeye kuruhusiwa kuendelea na Mtihani. Kisha huwa attached katika ripoti ya wasimamizi ili kusaidia kufikia uamzi Kulingana na Matokeo yake.

Narudia, Tuwasaidie wanaotusikiliza/Wanaosoma majibu yetu ili Hata uamzi unapotoka tusiwapotoshe.
Hapa sasa nimeanza kuelewa.
 
Back
Top Bottom