Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,827
Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya:



Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu.

"Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa, zinaishia kulipia per diem na marupurupu ya kina Tiganga, Chavula, Kidando na wenzao waliopangiwa kesi ya kudumu Dar nje ya vituo vyao kazi."

Enyi serikali waoneeni imani wananchi hawa. Kwa hakika hata kuinuka kutokea kwenye Corona kwamba hata watasimama ni kudra kudra za Mola tu.

Hohehahe hawa wanao wagharimia nyie kwa yote, wangali na nini bado cha nyie kuchukua?

Ama kweli "wonders shall never end."
 
Ccm ni nyonya damu za watanzania

Ina shangaza kwa ukakamavu huu.

Labda kweli wananchi hawa hawakuathirika na Corona kabisa kwa sababu nyungu na maombi viliwapa kinga kamili.

Hata huruma kidogo hamna?
 
Watu hawalipi hizi kodi kwasababu hawaoni faida yeyote kutokana na mlundiko wa kodi zinazotozwa na hii serikali; wamebakia kutumia kodi wanazokusanya kununua maV8 basi!!!!! Inaelekea Samia hajui kinachoendelea nyuma ya mgongo wake kwani taarifa wanazompa hao wasaidizi wake sio sahihi!!!
 
na hawa wanatoka nje ya Dar?

List kamili na wanakotoka hii hapa:

IMG_20211125_125318_322.jpg


Tambua viherehere vya mtu tatu hawa in that order: Chavula, Kidando, Hilla bila kumsahau aliyeshika mpini mwenyewe.

Wote ni mwendo wa per diem zilizo boreshwa kweri kweri.
 
Watu hawalipi hizi kodi kwasababu hawaoni faida yeyote kutokana na mlundiko wa kodi zinazotozwa na hii serikali; wamebakia kutumia kodi wanazokusanya kununua maV8 basi!!!!! Inaelekea Samia hajui kinachoendelea nyuma ya mgongo wake kwani taarifa wanazompa hao wasaidizi wake sio sahihi!!!

Zanzibar Mwinyi kasema serikali yake inalipa madeni yote inayodaiwa kutokea katika pesa za covid 19 kutoka imf kuwasaidia watu kusimama kutokea kwenye janga.

Huku wastaafu huwalipi. Madeni hulipi. Unaongeza kodi na tozo double double kwenye kitu kile kile.

Wanao kudai unakwenda kuwakamatia mali eti wewe unawadai kodi bila shaka ili ukawalipe Chavula, Kidando, Hilla na Tiganga kwenye kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu?!

Bado huoni si sawa?
 
Wao ndiyo wahujumu uchumi

Kulikuwa na haja CDM ikafanya ka survey ikawatambua washirika zaidi wa kweli:

1. Wahanga wa makodi haya wanaopokwa mali zao hali wengi wao au jamaa zao wanaidai serikali.
2. Kuna wanaokumbana na dhuluma za serikali za moja kwa moja:

Wapigwe Vita Polisi kunyang'anya madereva leseni

Kuna watu wanaopigwa kalamu na serikali wasiishi kabisa.

3. Kuna watu wanalazimishwa na serikali wasijishughulishe na baadhi ya shughuli zao hata kama ni binafsi.

Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

4. Kuna waliopotezewa wapendwa wao na waliokuwa wakiwategemea kwa makusudi kwenye Corona.

5. Nk

Watu wengi wana machungu ambayo kwa hakika tiba yake haiwezi kuwa pungufu ya katiba mbadala.
 
Back
Top Bottom