Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,444
- 7,808
Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha wakiwemo watumishi wa Serikali.
Najiuliza gharama za kupeleka ndege mbili za Marais, kupeleka jopo kubwa hivi, kuwalipa posho walioenda na watumishi wa Chato, logistics za ulinzi kwa marais wote wawili, kupeleka live TV etc
Hizi gharama hazijazidi au kukaribiana na gharama ya shule ya msingi iliyoenda kuzinduliwa? Kama ni alama ya ushirikiano, hamna namna nyingine tungeweza kufanya?