CHADEMA kina wanachama wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kina wanachama wangapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 29, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?

  Idadi ya wanachama wa chama cha siasa (siyo mashabiki) inaweza kujulikana to almost exact figures.

  a. Mwanachama anapojiunga analipia kadi kwenye tawi lake
  b. Kila tawi lina orodha ya wanacham wake
  c. Mwanachama akihama tawi kuna utaratibu kuwa kule anakoenda atajiunga na tawi jipya na rekodi zitaonesha hivyo
  d. Kila tawi linatuma idadi ya wanachama wake makao makuu
  e. Kuna utaratibu wa kuupdate idadi ya wanachama (wanaoingia na kutoka)
  f. Kwa kuangalia idadi hizo unaweza kuona movement ya wanachama na kupata demographia ya wanachama wako (vijana, wazee, kina mama, mijini, vijijini n.k).
  g. Kulipa ada za kila mwezi za chama. Mfumo mbaya ni kulipa kwa mwaka! Ni vizuri kuweka quarterly fees ili kila baada ya miezi mitatu walio wanachama (loyal party members) wanaenda kulipa ada zao. Hii inakupa mwanga.
  h. censored.

  Sasa kujua hili la wanachama ni kuijua base yako. Huwezi kujenga chama kwa kutegemea independents au undecided voters. Ni kwa kutegemea your core supporters ndio chama kinaweza kusimama.
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Chadema hawapendi ushauri,wanajifanya wanaijua siasa..kuna sehemu hadi leo hawajafika wanakimbilia ulaya na usa..ili walipane per diem nene.

  Kusini uko kuna maeneo walisikia tu cdm walipita kisingizio msiba wa Makani au bajeti haitoshi, ila bajeti ya kufanya mikutano Arusha haikosekani.

  Matokeo ya udiwani ni ujumbe mzuri kwa ukaidi wao.
   
 3. M

  Magesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kuanzia ni lazima 2hoji hili
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  na kuna watu wana kadi zote
  za ccm na chadema
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  You can not exactly ascertain this, as a person can be a member of more than one party at a time. And also, it's very unwise to think that all of your party members will vote in favour of your party. So to me, this question is absolutely irrelevant & immaterial. What matters most is how many are supporting a party (not necessarily party members by subscription, though this aspect might also be rarely important)
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji kama una jambo lingine la maana kujadili au kuwashauri ni bora ungefanya hivyo, Dr Exavery Lwaitama ni kada wa CCM na hata mimi Matola ni kada wa CCM, wacha kujishughurisha na takwimu za uwongo zisizo na takwimu za waliohama chama na waliofariki.

  Takwimu unayotueleza wewe hapa ni tangu kuanzishwa kwa CCM, natowa Offer ya $ 100 aje hata katibu tu wa tawi la CCM atuthibitishie ni lini aliwahi ku update reja yake ya wanachama kwa kuwaondowa walioamia vyama vingine na waliokufa, nina uhakika wa 100% hakuna wa kuichukuwa $ 100 yangu. Si kweli hata kidogo kwamba eti CCM ina wanachama millioni 5.

  Hi thread ni useless kwangu kwa sababu mimi binafsi si mwanachama wa Chadema lakini ni zaidi ya Mwanachama. ni kwa nini tusiwaige Wasouth Afrika ambao wao itikadi iko moyoni? sijawahi kuona bendera za vyama vya siasa mitaani South Afrika zaidi ya Head qouters. Wewe Mwanakijiji unaishi Marekani unataka kuniambia Obama anatalajia kushinda kwa sababu Democratic ina wanachama zaidi?
   
 7. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hahaha!bongo watu wanafiki sana na moja ya watu wenye kadi mbili ni makamanda hawa hawa..ndio maana nakubaliana na Mbatia kwamba bongo kila mtu fisadi sema watu hawajapata chance tu.

  Na wanaharakati wengi kinachowasukuma ni wivu ila wakipata chanel kesho nao utasikia wana kesi za ufisadi.
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  duh kumbe Matola ni kada wa CCM.
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Anyway, wakati mwingine falsafa ya MM ni ngumu kueleweka..nadhani ana shida kidogo na uongozi wa CHADEMA, na sasa anajitahidi kuweka ilo kupitia post kama hizi. Even me, wanachama wenye kadi sio issue, maana nina rafiki zangu wana kadi za CCM ila ni supporters wakubwa wa CHADEMA, na walizipata hizo kadi 2010 wakati wa uchaguzi maana kulikuwa na deal ya kufanya hasa kwa wanachama wasomi wa CCM na ilikuwa inalipa. Nadhani swali na msingi liwe, CHADEMA ina wananchi wangapi wanaikubali na Je, wanaenda kupiga kura? Au wanasifa za kupiga kura?
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Kwa tafsiri ya Mwanakijiji, Zamani moja ya sifa za Scholarship kadi ya CCM ilikuwa inahusika, what i mean si kila aliyewahi kuwa na kadi ya CCM bado ni MwanaCCM mpaka leo na hapa ndipo penye msingi wa hoja yangu kwamba huu ni udanganyifu, wengine walichukuwa kadi za CCM kama njia ya kupitia tu. Umeelewa!?
   
 11. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Kuna ugonjwa fulani MMM ameanza kuugua siku za hivi karibuni,ni jambo la wakati tu utajidhihirisha wazi
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Itasaidia nini MM hata tukijua??
  Kwani Mkuu Matola anasema ana kadi ya CCM lakini haisaidii hiyo CCM,
  wengine wengi tu wa tangu zama za Tanu washakufa,
  Wengine wana kadi zaidi ya moja ya chama hichohicho, kila siku wanachukua kadi,
  Wengine wanachukulia kadi Jukwaani hivyo hakuna records,

  Ni ngumu sana kwa kweli kujua hii kitu, aheri hata ukatafuta tigo au voda ina members wangapi unaweza ukakosea kidogo kuliko hii unayofanya.

  Otherwise labda ungetupa chama ambacho tukafanyia reference ingekua poa, kuliko kua bias kwa Chadema kwa makosa ambayo kila chama kinafanya!!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Sikutegemea mtu kama MMM aje hapa na hadithi za kumquote Yusuf Makamba, huku ni kupungukiwa kwa hekima na maarifa.

  Hivi hii JF ina hawa Members?
  Registered Members: 96,985
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  maswali mengine ni ya kipuuzi kweli...hiyo 2010 kwenye uchaguzi huyo mgombea wa ccm alipata kura mil 5?....unaziamini takwimu za makamba unamwelewa?....
   
 15. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hata Dr Slaa nasikia hajarudisha kadi ya CCM
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Siasa ni sayansi na siasa ni sanaa.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hata mimi nimeshangaa kweli!!!...maswali ajabu ya kweli....
   
 18. w

  white wizard JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ni zaidi ya KILIONI 2.5 Hivi!
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Hili la msingi sana,
  Kuna thread moja hivi iliwekwa hapa kuhusu MM wa miaka ya 2005
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/339792-proper-recording-nini-kilimbadili-mzee-mwanakijiji-27.html
  , naona huyu MM wa sasa anafanana na huyo wa 2005. Kifupi nashawishika kuamini kua anatumika!!
   
 20. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ni syansi ya sanaa au sanaa ya sayansi
   
Loading...