Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.

Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.

Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, iwapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.

Madaraka bila maarifa ni maafa.

Mtakuja kuniambia.
 
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.

Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.

Higyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa,i wapo Mbowe atpafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.

Madaraka bila maarifa ni maafa.

Mtakuja kuniambia.
Mbona unatoa hukumu wakati kesi inaendelea!!

Kama kweli alikuwa na nia ovu ya ugaidi, nchi gani duniani itakubali kufanya hayo unayodhani yatakuwa!!!
 
Muelekeo wa hiyo kesi ni sawa na hukumu imeshatoka, majaji wenu wanatii maelekezo yenu vizuri sana, sioni haja ya kuisubiri hukumu tena, labda tusubiri muda wa kifungo tu.
 
Hiyo nayo ni kesi yenye sifa za kuitwa kesi?

Shahidi anaingia na madesa mahakamani na bado anendelea kuaminiwa na mahakama?

Mambo haya ni kwenye hii nchi ya giza tu.
 
bwana Salary Slip, usiwategemee wazungu kwenye hizi mambo zinazoitwa utawala bora and blah blah..

Hizo ni tools za wazungu kulinda maslahi yao au kutafuta maslahi yao, sasa utapima mwenyewe are they comfortable? is the situation favoured them?.... Boeng na bombadier wanauza madege kila uchwao wanapiga mpunga kuanzia mauzo, maitenance nk, unasikia yanayoendelea kwenye umeme, gas na vibali vya uchimbaji vinavyomwagwa kama njugu.....maslahi kwanza dude.....

Ushauri bure: pambaneni wenyewe kwa kuwatumia raia kama tool na sio mzungu...kama mmeshindwa kuwaconvince raia kwa mzungu msahau...
 
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.

Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.

Higyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa,i wapo Mbowe atpafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.

Madaraka bila maarifa ni maafa.

Mtakuja kuniambia.
Watu wanapewa mahela ya covid19 na mahela mengine alafu anatokea mwehu anasema hawapewi misaada sababu ya gaidi mbowe
 
Muelekeo wa hiyo kesi ni sawa na hukumu imeshatoka, majaji wenu wanatii maelekezo yenu vizuri sana, sioni haja ya kuisubiri hukumu tena, labda tusubiri muda wa kifungo tu.
Heee.....Mzee Baba Kakutwa Gaidi Kweli? Ngoja hukumu itoke ...!
 
Hivi si hata kuvuruga uchaguzi na wale Covid 19 mlisema serikali itakatiwa misaada kwa kuwa inakiuka demokrasia?

Je, serikali ilikatiwa misaada?
 
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.

Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.

Higyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa,i wapo Mbowe atpafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.

Madaraka bila maarifa ni maafa.

Mtakuja kuniambia.

Wacha waendelee kujidanganya eti wameshika mpini
 
Utakuja kukumbuka huu uzi kama ambavyo Yuda Eskariot alikumbuka maneno ya Yesu baada ya Jogoo kuwiika.
Umechanganya, siyo Yuda. Ni Mt. Petro. Lakini hawa waovu hawastahili kabisa kulinganishwa na Mt. Petro. Mt. Petro yeye alijipa moyo mkuu wa kupambania haki, akashindwa mbeleni. Hawa wanapambania uovu.
 
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.

Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika mifumo yetu ya.kutoa haki sambamba na kutaka demokrasia iheshimiwe na hata kushinikiza Tume huru moja kwa moja, au kupitia shinikizo la demokrasia na utawala bora..

Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla.

Hivyo, kuna gharama ya kulipa kitaifa na kimataifa, wapo Mbowe atafungwa, gharama ambayo itakuwa ni gharama ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na chama tawala ndio kita-suffer zaidi.

Madaraka bila maarifa ni maafa.

Mtakuja kuniambia.
umejua sasa.umejuaje
 
Back
Top Bottom