Baada ya Paul Makonda, Kamanda Mambosasa ujiandae

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
820
1,959
Wakuu,

Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli

Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko kinyume na sheria

Makonda alishirikiana na Mambosasa kutumia vibaya madaraka ya umma

Sasa baada ya Makonda kusurubiwa, Mambosasa naye ajiandae
 
Wakuu
Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na rais Magufuli

Makonda alikuwa akimtumia kamanda lazaro mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizohalali na ziko kinyume na sheria

Makonda alishirikiana na Mambosasa kutumia vibaya madaraka ya umma

Sasa baada ya Makonda kusurubiwa, Mambo sasa nae ajiandae
Na baada ya yeye anafuata kubwa lao, hata kama wakati huo atakuwa akilea wajukuu
 
Kitendo cha Mama kujikalia kimya huku watu wakibambikiwa kesi za kutunga na kuteseka mahabusu ni ketendo kibaya sana. Yeye anakula na kusaza huku watu wengine wakiteseka kwenye maamzi ya mikono yake mwenyewe. Ipo siku
Usiteseke mkuu... wacha mahakama ifanye kazi yake.

Kama hana makosa itajulikana
 
Wakuu,

Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli

Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko kinyume na sheria

Makonda alishirikiana na Mambosasa kutumia vibaya madaraka ya umma

Sasa baada ya Makonda kusurubiwa, Mambosasa naye ajiandae
Makonda hawezi guswa hata siku moja kuna kitu hata bibi ushungi anakijua sn
 
Wakuu,

Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli

Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko kinyume na sheria

Makonda alishirikiana na Mambosasa kutumia vibaya madaraka ya umma

Sasa baada ya Makonda kusurubiwa, Mambosasa naye ajiandae
Mweeh! Mbona mtawamaliza? Wengine waachwe kwa ajili ya substitution 😊😊😊
 
Wakuu,

Awamu ya 5 ilikuwa na viongozi wengi wa hovyo waliobebwa na Rais Magufuli

Makonda alikuwa akimtumia Kamanda Lazaro Mambosasa kukamilisha missions zake binafsi zisizo halali na ziko kinyume na sheria

Makonda alishirikiana na Mambosasa kutumia vibaya madaraka ya umma

Sasa baada ya Makonda kusurubiwa, Mambosasa naye ajiandae
Halitasalia jiwe juu ya jiwe
 
Kitendo cha Mama kujikalia kimya huku watu wakibambikiwa kesi za kutunga na kuteseka mahabusu ni ketendo kibaya sana. Yeye anakula na kusaza huku watu wengine wakiteseka kwenye maamzi ya mikono yake mwenyewe. Ipo siku
Mpwa ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom