Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,863
- 3,190
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini?
Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo uliyonayo. Mbona mnafanya makusudi kumchonganish Rais na wananchi.
Mnachokojua wewe na msaidizi wako ni kujiandikia pesa za Gala za taifa waje kanunue mhindi yenu na kuwahadaa WFP kuwa mmenunua kwa wakulima kumbe ni yenu. Mnachofanya hakikubaliki hata kidogo.
Sasa kama mbolea imetoka Elfu 65,000 hadi 110,000 na Waziri upo kazini hadi sasa na hatuoni mabadiliko unataka Rais afanyeje?
Kwa sasa bei ya gunia mshindi Elfu 30, viaz 30, maharage 40. Kwa heka moja unatumia mifumo ni 3 ya mbolea bado madawa, vibarua, palizi, uvunaji na usafirishaji. Hii ni kusema ukitaka mkulima hela moja itabidi uuze mahindi gunia 12 hapo ni upate tuu mifuko mi 3 ya mbolea. Kwahiyo ukitoa ma gharama zingine mkulima atapata wastani wa gunia 3 kama faida yaani Elfu 90 kwa msimu wote wa kilimo. Je hamuoni mnaenda kupunguza wqzalishaji, je namuona mnaenda kuleta baa la njaa?
Asilimia 80 ya wapiga kura wa CCM ni wakulima, je unataka wananchi waichukie serikali ya CCM. Muda mwingine hawa walimu wenye ma profesa wabaki vyuoni wafundishe hizi kazi wapewe wataalamu ambao kimsingi wana uwezo mkubwa zaidi wa kiutendaji kuliko hawa walimu wenye u Professor.
Rais Samia wakulima tunaimani na wewe fanya jambo bei ya mbolea. Na hili tunakuomba usimwachie mtu sio PM sio Waziri, ingia mwenyewe front msimu wa kilimo ndio huu ili uiepushe nchi yetu na baa la njaa hapo mwakani.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE