Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"
Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi...
Ninapendekeza ili kuruhusu haki kutendeka kwenye matokeo ya kuhesabu kura katika chaguzi za nchi yetu, serikali ipeleke Bungeni kwa hati ya dharura kuomba mabadiliko ya sheria ili kuondoa jukumu...
Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi...
Niliposikia/niliposoma maneno hayo, tena toka kwa kiongozi wa nchi sikuamini kabisa nilichosikia au nilichokisoma!
Kiongozi kamwe hawezi kamwe kuwa na fikra za namna hii kuhusu suala hili...
ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi
kitaendelea kutoa kipaumbele katika sekta ya afya kwa kuwa...
Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa
1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani
2. Ripoti ya Ufisadi Bandari
3. Ripoti...
Mbunge wa viti maalumu komredi Polepole amesema muda ukifika tutahitaji Katiba inayosimamia mifumo na siyo inayomtegemea mtu mmoja.
Polepole alikuwa akijibu swali la mtangazaji nguli barani...
Rais wa sasa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mh Samia Suluhu Hassan...
Mh Samia amepokea kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli...
Habari za muda huu JamiiForums.
Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi.
1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime).
2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura...
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia...
Hata kwa kuwaangalia tu hao wanaoitwa Born Town wanafanana sana na akina Prof Ndumilakuwili, Pimbi, Lodi Lofa, Sokomoko na Zena yaani ni mule mule bwashee.
Hao Sukuma gang ndio utawakuta akina...
Habari wanajamvi
Leo nimesikitishwa sana na hotuba ya Mh Rais kuhusu UVIKO-19 akitusisitiza tujaribu kusalimiana kama Wajapan bila kushikana mikono wakati huo huo anapiga simu kuwapongeza watu...
Salaam Wakuu,
Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021
Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu...
Wakuu what is so special na hii kesi
Yaani ukianzia hapa JF, nenda Tweeter, nenda FB na YouTube kesi ya Mbowe ndo ina trend Sana.
Huwezi amini Raisi SSH alikuwa Arusha Ila uzi wake unapata...
Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais?
Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na...
Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya...
Moja za awamu iliyokuwa ya kibabe, ilikuwa fashion Viongozi kutisha wananchi wao.
Ajira kwa vijana ilikua changamoto sana.
Labda kwa mazingira ya kutiwa hofu na unawezwa fanywa lolote na magenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.