Wiki tatu baada ya ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu nchini Misri, wafanyabiashara 111 kutoka nchini humo wamekuja Tanzania kuangalia fursa za kibiashara na uwezekaji.
Jitihada za Rais zinalenga...
Rais Samia, kwa nafasi yake, amejitahidi katika mengi, kaharibu katika machache, lakini yaliyo ya msingi:
1) Amejitahidi kuhimiza mazingira rafiki ya uwekezaji lakini kahimiza kwa mdomo...
Kama binadamu ni muhimu kukumbuka ulikotoka, kuelewa ulipo na kujua unakokwenda.
Kwamba ni sasa ndiyo anaangushiwa Jumba bovu? Mbona bado?
Asipoangalia mbona hata la Mbowe nalo atangushiwa...
=AZUUWd1OU7Rl6vvdDQtiwHMSxmWBB8ij45C04oMwTuY3Udqu5PlqIE0kP2mmadVRrgnAYhcXxUHlxET6Hh9KgDEXWLPj4mHzw-2HDXNV4KApOz4YZCdwpuxXNul2E7DX6Xa6OeOddumzlq5XMxB-Jun9&tn=*NK-R']#NUKUU YA WIKI: Kutoka kwa Ndg...
Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia.
I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu...
Mkweli ni Yupi kati ya hawa: Uwazi na ukweli, Maisha bora kwa kila MT, Hapa kazi tu, Kazi iendelee
Ni awamu gani Ilitafsili kauli mbiu kwa viendo tukianza na awamu ya 3?
Awamu ya tatu: Mzee...
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.
Lakini hii kutwa mama wa...
Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta...
Kutoka ziara ya Rais Samia,
Bandari Kuu Dar es Salaam.
Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki...
Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa...
Mh. Spika Ndugai amesikika akiwa kaambatana na mbunge wa upinzani kwa mabeberu:
Sikia wizara ya afya nao:
Abiria katokea Tanzania.
Yaliyobaki yanachukua muda gani kufahamika?
Seriously...
Kwa jinsi ambavyo hii nchi ilikuwa inaendeshwa na genge la mafisadi chini ya utawala wa awamu ya nne, ni wazi kwamba bila Magufuli, CCM ingeshakuwa imejifia kabla ya 2015.
Uzembe, udhaifu, wizi...
Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA...
Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021...
Ule mpango kabambe wa Kisasa wa kusajili wanachama wake unaotikisa nchi kwa sasa unaoitwa Chadema Digital umeingia rasmi Eneo Muhimu sana la Mkoa wa Mbeya liitwalo Uyole, hii ndio njia panda pekee...
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi...
Mwanasaikolojia wa Kiimani ( Jina Kapuni ) amesema ya kwamba Watu wengi ambao huwa wanapenda Kujionyesha kwa Watu kuwa ama wanamjua Mungu au wanayajua Matendo ya Mungu au wapo karibu wa Watu wa...
MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA
Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.