Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Samia amesema Rais ni taasisi lakini inayoongozwa na mtu na katika awamu iliyopita tulikuwa na ndugu yetu Magufuli ambaye ametuachia miradi mingi mikubwa, tuxidi kumuombea ili Mungu amlaze...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Jana kulifanyika ka tamasha pale leaders Club linaloitwa bata la Dar ambalo dhumuni kubwa ilikua kuongea na mama Samia Tamasha lilibuniwa na Steve nyerere na baadhi ya viongozi huku wakitumia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Waraka mfupi kwa wafanyakazi wote wa Serikali na Taasisi zote Nchini Toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea kijiti ameanza na jambo moja la msingi nalo kurudisha mifumo ifanye kazi...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
"Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini huyu mama yetu mpendwa samia analalamika tu bila kuchukua hatua? Wananchi wanapenda kuona Rais mwenye uwezo wa kutumia Mamlaka tuliyompa. Yaani watu milioni sitini wa nchi hii, wote kwa...
20 Reactions
36 Replies
2K Views
Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza nimeona unajihami kwa kusema matatizo ya awamu zilizopita yanaangushiwa awamu yako hivyo hutakubali ,na utasimama upande wa wananchi. Swali langu kwako ,hili la mfumuko wa...
12 Reactions
54 Replies
3K Views
Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho? Ni matumaini...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia amewapongeza wamiliki wa kiwanda cha RADDY Fiber ambao ni Watanzania wazawa kwa uwekezaji mkubwa walioufanya na kuitoa Tanzania kimasomaso. Kiwanda cha Raddy Fiber ni miongoni mwa...
14 Reactions
75 Replies
4K Views
Kuwa kiongozi Tanzania ni kujitoa sadaka ya maisha yako watu hawapendi maendeleo. Vikwazo hivi hapa. Matajiri wala rushwa Matajiri wauza madawa ya kulevya Matajiri wakwepa kodi Wanasiasa wala...
4 Reactions
1 Replies
681 Views
"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma...
9 Reactions
94 Replies
7K Views
Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
UKISIKIA WATU WANASEMA "mama Samia anaupiga Mwingi sana" HII NDIO MAANA YAKE Na Mwandishi Wetu 11/09/2021 [emoji1241][emoji1241] Jana Mama ametoa billion 50 kwa ajili ya kununua mahindi ya...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu Leo Kuna Ufunguzi Wa Barabara ya Mwenge To Morocco. Mgeni Rasmi ni Chief Hangaya, Kuanzia Mida Ya Sa1 Asubuhi. Je, Tutegemee Kile Kilio Cha Jana Kule TPA Kiendelee? Je, Hata Wajumbe Wa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo...
1 Reactions
2 Replies
946 Views
MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa. Mara ya mwisho aliwaasa wateule...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanabodi. Karibuni kufuatilia kipima joto live kutoka studio za ITV, leo Ijumaa tarehe 07 /11/ 2014 saa 0900, Ambao hamna access na ITV karibuni msibanduke JF. Mpaka kieleweke Mada.: katiba...
2 Reactions
84 Replies
12K Views
Back
Top Bottom