Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi tungo tata zinafikirisha sana.

Je, Lema anapeleka huo ujumbe kwa bwashee gani?

Maendeleo hayana vyama!
 
Anapoondoka keshafanya mambo yake! Ila Kuna baadhi wanaomuona shetani akija na kumpiga stop. Wengi waliofanikiwa huenda wana uwezo wa kumuona.
 
Unaachaje kumfuatilia mtu aliyesema kwa usahihi kuwa jiwe lisipotubu litakufa na lilipofanya kiburi likafa kweli?
Ushawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!
 
Back
Top Bottom