Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa...
Wanapenda mabadiliko.
Hapa ni maalum kwa ajili ya kupata matokeo ya Bunge la Katiba.
Nimebaini kuna wadau wetu wengi sana wanakosa pahala maalum kwa ajili ya kufuatilia kuhusu 2/3 na matokeo kwa...
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu , Hii ni Kampeni ya Chadema Digital kwenye Kata ya Ipinda Jimbo la Kyela
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema kutoka Zanzibar Salum Mwalimu ameongoza usajili huo .
Jana yakitokea mengi sana ambayo Sasa yameanza rasmi kuonyesha uelekeo wa raisi wetu mama Samia.
Kubwa zaidi ni kuanza kujua kuwa wasaidizi wake wanampamba kwa maneno ya uongo.
Mkuu wa mkoa Amos...
Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa...
Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au...
Suala la Corona. Mbona hatusikii Takwimu? Waliosema kuchanjwa iwe lazima kwa wote wapo wapi? Suala la kuvaa barakoa? Hata wapinzani hatuvai.
Kipindi kile wakati yupo tulikuwa tumavaa ku prove...
Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme...
Kuna mambo makuu matatu ambayo CCM wakiyapuuza hakika watatawanyika kama ndege wa angani uwarushiapo jiwe.
1. Kesi ya Sabaya na Makonda.
katika kesi hizi wengi wanaona ni kesi za kawaida lakini...
Tuache ushabiki kwa katiba tuliyo nayo tukiwa na Raisi kama Membe ninaye mfahamu mtu wa visasi asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa tutakuwa na Raisi dikteta kamili.
Tanzania inahitaji Raisi...
Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu
Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika...
Elimu ya kumkomboa masikini ni Serikali kuwekeza kwenye elimu ya ufundi kuanzia Msingi hii itafanyaTanzania yenye Nguvu ki Uchumi katika Elimu inayogusa jamii ya watu wenye kipato cha chini ambao...
Gazeti la mwananchi limekuja na report inayofafanua vizuri jinsi mawaziri wenye tamaa wanavyoweza kumvuruga rais aliyepo madarakani kwa kujijenga wao binafsi badala ya kumsaidia rais kutumikia...
Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka...
Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine?
Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa...
Ikumbukwe kwamba Rais alitoa kiasi cha tsh trion 1.3 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa nchi nzima, katika hali isiyo yakawaida mkurugenzi mtendaji wa manispaa ya shinyanga amefanya yafuatayo÷
1...
UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA
Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji...
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli, sasa mbona kama mliwasha moto...
Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana,
WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi...
Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa.
Siku zote ni mtu anayetumia busara na...
..............................................
Nawasalimu sana wanandugu!
Kwanza: Mniwie radhi nilikua njiani kutoka Tanga kwa mazishi ya baba yake DED wa Ikungi ndio maana nimechelewa kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.