Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
IMG-20211204-WA0095.jpg
teuzi
 
Naona familia ya Kolimba imekumbukwa
Hivi vitu na hizi nafasi ndo vimewafanya vijana wetu wanapoteza network wakishinda mitandaoni kutetea madudu wakiamini ipo siku watakumbukwa.

kama taifa tupambane tutafute suluhisho la ajira kwa vijana wetu. Tunapoteza vijana kwa kuamini kwamba salama yao iko kwenye teuzi. Kitu ambacho si kweli.
 
Kumbe nafasi ya Sophia Mjema ilikuwa bado haijazibwa Arusha.
 
Hivi vitu na hizi nafasi ndo vimewafanya vijana wetu wanapoteza network wakishinda mitandaoni kutetea madudu wakiamini ipo siku watakumbukwa.

kama taifa tupambane tutafute suluhisho la ajira kwa vijana wetu. Tunapoteza vijana kwa kuamini kwamba salama yao iko kwenye teuzi. Kitu ambacho si kweli.
Vijana wengi humu ni CCM na CHADEMA ,HAYA TUSEME CCM WANASAKA UTEUZI KAMA ULIVYOSEMA ,

VIPI KUHUSU CHADEMA NAVYAMA VINGINE?

#FIKIRI TENA!!!
 
#UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan Amemteua Bw. Dadi Horace Kolimba, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.

Bw.Kolimba anachukua nafasi ya Bw. Abbas Juma Kayanda ambaye amehamishiwa Wilaya ya Moshi.
20211204_210009.jpg
 
Back
Top Bottom