mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,843
- 3,128
Natembea na huu msafara wa rais Samia hapa Dar akiwa katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, zikiwemo barabara.
Mwitikio wa wananchi ni hafifu sana na waliopo kwenye hafla hizi sura zao hazina raha kabisa, kulikoni?
Anayeweza tujuza sababu za haya mapungufu atujuze.
Enzi za hayati Magufuli palikuwa hapatoshi, furaha na mapokezi bashasha ya wahudhuliaji, nini kimebadilika?