Kulikoni mbona kesi ya Mbowe ndo inatrend kila kona

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu what is so special na hii kesi

Yaani ukianzia hapa JF, nenda Tweeter, nenda FB na YouTube kesi ya Mbowe ndo ina trend Sana.

Huwezi amini Raisi SSH alikuwa Arusha Ila uzi wake unapata replies chache Sana, habari zote zinazohusu serikali hazifatiliwi Sana.

Ukiangalia media za Kenya ni kesi ya Mbowe tu, BBC hivyo hivyo.why habari za serikali zimekosa attention kiasi hiki?

What so special with this case?
 
It is very special case kwa sababu ni ya kubambikiwa, halafu aliyembambikia ni mtu anayesema anataka kuongoza nchi kwa haki, halafu kwa nje anataka watu wamwone ni mcha Mungu.

Nadhani sababu mojawapo ya vyombo vya kimataifa ni pamoja na kuonesha unafiki wa watawala wa Tanzania.

Kwa waliopo ndani ya nchi, kesi hii inafuatiliwa kwa sababu baadhi ya watu wanashuhudia kwa mara ya kwanza jinsi tulivyo na jeshi la polisi la kiharamia, linalowatengenezea watu makosa.

Na wengine ndiyo wamepata nafasi ya kuona mahakama zetu zilivyo ovyo, majaji walivyo ovyo, kiasi cha wengine kutamka kuwa ni aheri wazee wa mabaraza ya kata wana weledi na wanatenda haki kuliko majaji. Watu wanashuhudia kwa mara ya kwanza kwa uwazi namna majaji walivyo tayari kupoteza utu na weledi wao kwa sababu ya kusubiria vyeo.
 
Unataka maigizo ya mto Ruvu ndo yatrend ???
 
Na ushahidi wa kubumba wa Kaaya na muuza mbege
 
Wakuu what is so special na hii kesi

Yaani ukianzia hapa JF, nenda Tweeter, nenda FB na YouTube kesi ya Mbowe ndo ina trend Sana.

Huwezi amini Raisi SSH alikuwa Arusha Ila uzi wake unapata replies chache Sana, habari zote zinazohusu serikali hazifatiliwi Sana.

Ukiangalia media za Kenya ni kesi ya Mbowe tu, BBC hivyo hivyo.why habari za serikali zimekosa attention kiasi hiki?

What so special with this case?
Tukio la Arusha limefunikwa utadhani Hangaya hakuwepo ! Noma kweli , wanategemea liandikwe na Jamvi la habari au Uhuru ! Aibu sana
 
Nafikiri Mh rais ikimpendeza arudi na ule utaratibu wa awali waliokua wanatumia kina mkapa na jk kuongea na taifa walau mara moja kwa mwezi.

Hii zunguka zunguka leo huko unaweka jiwe la msingi, leo unapanda miti inampunguzia ile hashiki ya kusikiliza. Pia itamsaidia kuchuja mambo ya kuongea kila kilichongelewa mtandaoni usiku wa jana.
 
Wakuu what is so special na hii kesi

Yaani ukianzia hapa JF, nenda Tweeter, nenda FB na YouTube kesi ya Mbowe ndo ina trend Sana.

Huwezi amini Raisi SSH alikuwa Arusha Ila uzi wake unapata replies chache Sana, habari zote zinazohusu serikali hazifatiliwi Sana.

Ukiangalia media za Kenya ni kesi ya Mbowe tu, BBC hivyo hivyo.why habari za serikali zimekosa attention kiasi hiki?

What so special with this case?
Hivi kwenye hii kesi mbona hatusikii wakisema ni wapi hiyo miti ingekatwa au mingapi!? Na je wangelitumia mapanga au chainsaw na hivi hadi mtu akate mti na kuuweka barabarani wana usalama wangekuwa usingizini??
Je ni vituo gani vingapi vilikuwa kwenye orodha?
Na je wenye hivyo vituo walitaarifiwa hao walinzi/wahudumu wangekuwa wamefungwa kamba au kulala!?
Je kuna viberiti na mapanga mashoka walikutwa nayo?

Yaani maswali haya hayasemwi wala kutajwa. Sana wanazungumzia kukamata na hatabukamataji wenyewe una walkini mkubwa.

Mahakama na Jaji tenda weledi acha kupoteza muda wa waTanzaania hawa.
 
Ni kutokana na kesi yenyewe iko wazi kuwa ni mashtaka ya kugushi.
 
Hivi kwenye hii kesi mbona hatusikii wakisema ni wapi hiyo miti ingekatwa au mingapi!? Na je wangelitumia mapanga au chainsaw na hivi hadi mtu akate mti na kuuweka barabarani wana usalama wangekuwa usingizini??
Je ni vituo gani vingapi vilikuwa kwenye orodha?
Na je wenye hivyo vituo walitaarifiwa hao walinzi/wahudumu wangekuwa wamefungwa kamba au kulala!?
Je kuna viberiti na mapanga mashoka walikutwa nayo?

Yaani maswali haya hayasemwi wala kutajwa. Sana wanazungumzia kukamata na hatabukamataji wenyewe una walkini mkubwa.

Mahakama na Jaji tenda weledi acha kupoteza muda wa waTanzaania hawa.
Hiyo hatua kisheria hawajafika.
Tuhuma ni Njama,uhujumu uchumi,kudhuru viongozi na vitendo vya ugaidi.
Mashahidi wote waliofika mahakamani wanakwepa kuongozwa kuthibitisha ukweli jaji ahukumu.
 
Back
Top Bottom