Rais Samia jumba bovu analilea mwenyewe

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,827
Kama binadamu ni muhimu kukumbuka ulikotoka, kuelewa ulipo na kujua unakokwenda.

Kwamba ni sasa ndiyo anaangushiwa Jumba bovu? Mbona bado?

Asipoangalia mbona hata la Mbowe nalo atangushiwa yeye?

Bora angejikita (japo kwa kuchelewa) kwenye haki na maridhiano kuurejesha uungwaji mkono uliopotea.

Legacy ya kuiachia hii nchi Katiba mpya ingempa heshima kubwa zaidi kuliko hata ya urais 2025 anaoonekana kuutaka mno.

-----------
Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1
 
Naona afadhali aachwe tu, hana kifua cha kustahimili upinzani, na kwasababu mamlaka yote yako kwake na alishasema "ukimzingua mtazinguana" bila kujali kama "unamzingua" kwa kufuata sheria, ila yeye kwa mtazamo wake akiona unamzingua anakunyoosha.
 
Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!

Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.

Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
 
Asipoweza kusimama kama yeye jumba bovu liko njiani kumwangukia.

Liliwaangukia kina Jumbe, Salmin, Lowassa na hata Bilal. Asijidhanie yeye ni exceptional.
 
Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.

Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
Simple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza
 
mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi
 
Simple ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawzo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza

Hata asipotokea yeye in person AG anaweza kutokea kwa niaba wakayamaliza na DPP.

Suala zima anapaswa kujua siasa ni mchezo mchafu na kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo huo.
 
Kama binadamu ni muhimu kukumbuka ulikotoka, kuelewa ulipo na kujua unakokwenda.

View attachment 2033861

Kwamba ni sasa ndiyo anaangushiwa Jumba bovu? Mbona bado?

Asipoangalia mbona hata la Mbowe nalo atangushiwa yeye?

Bora angejikita (japo kwa kuchelewa) kwenye haki na maridhiano kuurejesha uungwaji mkono uliopotea.

Legacy ya kuiachia hii nchi Katiba mpya ingempa heshima kubwa zaidi kuliko hata ya urais 2025 anaoonekana kuutaka mno.

-----------
Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

Swala na Mbowe inakuwa je aangushiwe wakati ni ya wakati wake, na DPP alimteua yeye na akamuagiza atupilie mbali makesi ya hovyo, if any, ilikuwa jeDPP mpya wake alilibeba file la Mbowe na kuendelea nalo?
 
Hata asipotokea yeye in person AG anaweza kutokea kwa niaba wakayamaliza na DPP.

Suala zima anapaswa kujua siasa ni mchezo mchafu na kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo huo.
Kwa sababu ameonyesha interest katika kesi hii baada ya kulishwa uongo, hawa si rahisi on their own initiative kuifuta, she has to set the process in motion
 
mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi

Endeleeni kumdanganya kana kwamba kuna mnapoona mahakama imeingiliwa. Pia kama vile jumba litapomwangukia mtakuwapo hata kumsaidia kwenye kuwajibika.
 
Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Mbowe issue yake ipo mahakamani ,kama hana hatia ataachiwa,msimlazimishe rais Samia kuingilia Uhuru wa Mahakama.
Haya nakumbuka mliyapinga kwa Magufuli iweje sasa kwa Samia?
Mbona Sabaya kala 30yrs in prison na mkashangilia na kukenua meno ya kwamba mahakama imetenda haki,sasa na huyo gaidi mtuhumiwa haki itatendeka
 
mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi
Kumbe ana wewe ni Rubbish! such a poor resoning! sasa analalamika nin na jumba bovu? Likiangika na la Mbowe you will not be there!
 
Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.

Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
Mawazo ya kijinga sana haya,nchi ikiendeshwa namna hiyo ujue hakuna serikali hapo .
Acheni Mbowe ajibu tuhuma zinazomkabili

Unamkumbuka Chacha wangwe?
 
jana niliyafeel maumivu ya rais samia japo sikumkubali, kuna kitu hajakijua hilo kundi linalomuunga wanamchezesha mchezo wa kisiasa ili awaone sukuma gang ni maadui zake wao wanufaike kisiasa, mama anapaswa kua makini sana na kundi linalomuunga mkono kuliko hata sukuma gang.
Sukuma gang walitaka awe na speed angalau nusu ya Magufuli tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom