thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake.
Waliwekeza mitandaoni kwa kuajiri vijana wa kumponda, threads nyingi ziliandikwa kwa pupa bila umakini.
Walichokosea ni kutoajiri watu makini wa kuchambua hoja zilizoshiba kutofautiana na mtazamo wa Rais Magufuli ili mbivu na mbichi zijitenge.
Matokeo yake wakaajiri wahuni ,wakiwemo na wahanga wa vyeti fake, kazi yao ikawa ni matusi kutwa kucha, matokeo yake wamepuuzwa vibaya sana na pumzi zimekata ghafla
Ukweli ni kwamba, mpaka sasa Magufuli anashaini mioyoni mwa watanzania wengi na anaendelea kuwa prove wrong watesi wake.
Leo mama Samia imebidi ataje jina la Magufuli alipokuwa akiifungua barabara ya Mbezi Louis, anajua bila Magufuli ushawishi unazidi kupungua.
Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda