CHADEMA Digital yaingia Uyole Mbeya, Wazee wamiminika kujisajili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Ule mpango kabambe wa Kisasa wa kusajili wanachama wake unaotikisa nchi kwa sasa unaoitwa Chadema Digital umeingia rasmi Eneo Muhimu sana la Mkoa wa Mbeya liitwalo Uyole, hii ndio njia panda pekee kwenye eneo la Maziwa Makuu yenye karibu kila kitu.

Kitu cha kushangaza hapa Uyole ni wingi wa Wazee wanaojitokeza kusajiliwa kwenye Mpango huu, Taarifa zinadokeza kwamba Wazee wengi wamechoka kukopwa mazao yao kwenye ule mpango uliopitwa na wakati unaoitwa STAKABADHI GHALANI , huu ni mpango wa kishamba wa serikali kukopa mazao ya wakulima na kuwalipa PANAPO MAJALIWA, Wazee wanaiona Chadema kama Mkombozi wao na wanaona kama ndio chama kitakachowalipa mazao yao kwa Cash, wanaichukulia Chadema kama TUMAINI LAO .

Hapa Salum Mwalimu akimsajili Mzee aliyezaliwa mwaka 1911 , ambaye amechoka kukopwa mazao yake .

Pongezi_kwa_Bibi_kwa_KULIKE_PICHA_yake_amevunja_rekodi.jpg
 
Chadema ni ugonjwa mbaya sana usip na dawa na Kila mtu kwa sasa anaujuwa hivyo hizo propaganda unazozifanya mtoa Uzi Wala hakuna mtu anashtuka tumeshawajuwa kuwa nyie ni wahuni wakiwango Gani hivyo kazi iendelee tunasonga na mama samia
 
Mkuu ni vema ukawaambia wanaokutuma kukumbuka kuwalipa wakulima hela zao
 
Mkuu ni vema ukawaambia wanaokutuma kukumbuka kuwalipa wakulima hela zao
Yaani Kila mwana nchi sasa hivi anaona mwanga wa maendeleo nchi inafunguka wewe sijui wawapi usiybadirika angalia shule zinajengwa kwa spidi ingekuwa chadema sasahivi mngekuwa mnagombania hizo Hela Kila mtu chadema ni mpigaji
 
Miaka 60 ya Uhuru bado mnasubiri wazungu waje wawajengee vyoo vya shule ! eti kampeni ya nyumba ni choo inafanywa leo ! very poor !
 
Chadema ni ugonjwa mbaya sana usip na dawa na Kila mtu kwa sasa anaujuwa hivyo hizo propaganda unazozifanya mtoa Uzi Wala hakuna mtu anashtuka tumeshawajuwa kuwa nyie ni wahuni wakiwango Gani hivyo kazi iendelee tunasonga na mama samia
Wahuni wa CCM, Samia anawapunguza polepole. Mhuni Polepole anasema wengine bado. Anawafahamu wahuni wenzake wote.
 
Back
Top Bottom