Humphrey Polepole na Kipara Kipya

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,907
Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa sana serikali ya kipindi hicho.

Humphrey nimefahamu kabla ya kuwa mwenezi na baada ya kuwa mwenezi.Siwezi sema namfahamu personaly au ananifahamu personally ila huwa tunakutana katika matukio mbalimbali ambapo huwa tunakutana sisi watu ambao TUNA VERY HIGH PROFILE kiasi kwamba tunakwepa unnecessary publicity tukiwasikiliza hawa watu kama POLEPOLE ambao wana VERY LOW PROFILE kiasi kwamba hutafuta unnecessary publicity.

YOTE kwa YOTE lengo langu mimi sio kujadili uhusiano wangu na POLEPOLE hapana leo nataka nijadili Tabia mpya ya POLEPOLE KUPIGA KELELE ambayo naifananisha na tabia watu wanaoanza kuota kipara kipya.

Kipara hutokea katika hatua fulani maishani kwa sababu mbalimbali,kwa wengine huwa tukio la kupoteza nywele huwashtua sana na kuwaumiza kiasi kwamba hujikuta kila siku wakihangaika ama kutafuta tiba ya kuotesha nywele au wakiadili ntindo wa kunyoa na kunyoa zungu(Upara).Yote hii ni sababu ya kipara kipya.

  1. Polepole lazima kwanza akubali kwamba sasa kuna uongozi mpya na yeye yupo nje (influence yake ni ndogo sana).
  2. Pili lazima atambue kwamba kama alishindwa kujenga Raport na Madam President wakati akiwa VP hawezi fanya hivyo sasa hivi kwa urahisi kwani kwa sasa hana access hio.
  3. Tatu kama kuna mabadiliko alitaka kuyafanya wakati akiwa mwenezi na ahakuyafanya hawezi kuyafanya sasa hivi kwa kelele zake
  4. Nne kama haridhiki na cheo cha ubunge alichopewa basi anaweza kujiuzulu ili kuonesha kwamba anaprotest badala ya kukaa nje kupiga kelele huku bungeni akiwa anasema tu Ndiooooooooooooo
  5. Tano kama anaona misingi walioijenga wakati wa JPM ni bora sana basi atulie ili wengine nao wajenge Misingi ambayo wao wanaiona ni BORA
  6. Sita yeye sio Mwenezi wa kwanza kutolewa na wala hatakuwa wa Mwisho,kila zama na kitabu chake na sasa ni Zama nyingine
  7. Kama anafikiri yeye ana uelewa sana wa uongozi na diplomasia basi atulie kwani kelele zake hazimjengi bali zinambomoa
Mwisho ushauri wangu wa bure kwa wote ambao wanapenda SIASA na maswala ya uongozi.Unapopewa nafasi ya kuwatumikia watu watumikie kwa kadiri ya uwezo na nafasi yako.Unapomaliza wakati wako"BOW OUT WITH HONOUR". Cheo ni koti la kuazima lazima urudishe kwa mwenyewe na uongozi ni kupokezana.
 
Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Hata Samia na team yake wataondoka wataingia wengine. Kikubwa ni kusoma alama za nyakati na kutenda haki.

Daima tukumbuke kwamba madaraka au system (wenyewe wanavyopenda kuiiita) unayotumia kunyanyasa wengine ndo hiyo hiyo itakayotumika dhidi yako, refer Sabaya, Makonda nk. Siku zote jitahidi usitumie kiti chako kufanya hujuma au kuumiza wengine. Malipo ni hapa hapa mtaani.
 
Wewe unajifunza Siasa.

Unatoa ushauri kwa hisia na si kwa uelewa.

Pole sana kwa maumivu unayopitia.
 
Uhuru wa kutoa maoni
 
Lile V 8 lake huwa ananun ua mafuta au mafuta anapewa bure
 
Hakuna marefu yasiyo na mwisho. Hata Samia na team yake wataondoka wataingia wengine. Kikubwa ni kusoma alama za nyakati na kutenda haki.

Daima tukumbuke kwamba madaraka au system (wenyewe wanavyopenda kuiiita) unayotumia kunyanyasa wengine ndo hiyo hiyo itakayotumika dhidi yako, refer Sabaya, Makonda nk. Siku zote jitahidi usitumie kiti chako kufanya hujuma au kuumiza wengine. Malipo ni hapa hapa mtaani.
Ngozi nyeusi tumelaaniwa tunasahau haraka sn na kuanza kutenda mambo ya ajabu
 
Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa sana serikali ya kipindi hicho.

Humphrey nimefahamu kabla ya kuwa mwenezi na baada ya kuwa mwenezi.Siwezi sema namfahamu personaly au ananifahamu personally ila huwa tunakutana katika matukio mbalimbali ambapo huwa tunakutana sisi watu ambao TUNA VERY HIGH PROFILE kiasi kwamba tunakwepa unnecessary publicity tukiwasikiliza hawa watu kama POLEPOLE ambao wana VERY LOW PROFILE kiasi kwamba hutafuta unnecessary publicity.

YOTE kwa YOTE lengo langu mimi sio kujadili uhusiano wangu na POLEPOLE hapana leo nataka nijadili Tabia mpya ya POLEPOLE KUPIGA KELELE ambayo naifananisha na tabia watu wanaoanza kuota kipara kipya.

Kipara hutokea katika hatua fulani maishani kwa sababu mbalimbali,kwa wengine huwa tukio la kupoteza nywele huwashtua sana na kuwaumiza kiasi kwamba hujikuta kila siku wakihangaika ama kutafuta tiba ya kuotesha nywele au wakiadili ntindo wa kunyoa na kunyoa zungu(Upara).Yote hii ni sababu ya kipara kipya.

  1. Polepole lazima kwanza akubali kwamba sasa kuna uongozi mpya na yeye yupo nje (influence yake ni ndogo sana).
  2. Pili lazima atambue kwamba kama alishindwa kujenga Raport na Madam President wakati akiwa VP hawezi fanya hivyo sasa hivi kwa urahisi kwani kwa sasa hana access hio.
  3. Tatu kama kuna mabadiliko alitaka kuyafanya wakati akiwa mwenezi na ahakuyafanya hawezi kuyafanya sasa hivi kwa kelele zake
  4. Nne kama haridhiki na cheo cha ubunge alichopewa basi anaweza kujiuzulu ili kuonesha kwamba anaprotest badala ya kukaa nje kupiga kelele huku bungeni akiwa anasema tu Ndiooooooooooooo
  5. Tano kama anaona misingi walioijenga wakati wa JPM ni bora sana basi atulie ili wengine nao wajenge Misingi ambayo wao wanaiona ni BORA
  6. Sita yeye sio Mwenezi wa kwanza kutolewa na wala hatakuwa wa Mwisho,kila zama na kitabu chake na sasa ni Zama nyingine
  7. Kama anafikiri yeye ana uelewa sana wa uongozi na diplomasia basi atulie kwani kelele zake hazimjengi bali zinambomoa
Mwisho ushauri wangu wa bure kwa wote ambao wanapenda SIASA na maswala ya uongozi.Unapopewa nafasi ya kuwatumikia watu watumikie kwa kadiri ya uwezo na nafasi yako.Unapomaliza wakati wako"BOW OUT WITH HONOUR". Cheo ni koti la kuazima lazima urudishe kwa mwenyewe na uongozi ni kupokezana.
Umeandika point tu. Madini ya maana sana
 
Hana haki ya kutoa maoni kama wewe hapa ulivyotoa maoni? Kama ni kunyamaza anza wewe sio yeye.
Aliwaambia watu wanyamaze wananyoosha Nchi. Hadi Hashim Rungwe alihoji nchi imepinda wapa mpaka watu wanyamazishwe. kama alivyonyamazisha watu ndio leo watu wanamnyamazisha yeye. hii inayomkuta yeye ilimkuta Nape alipozima bunge na yeye akazimwa mazima
 
Wakati Polepole akiwa mwanaitikadi wa Chama aliwahi nukuliwa akitaka watu "wakae kimya kwanza ili waionyooshe nchi" Hii kauli iliwalenga wapinzani wa ndani na nje ya chama ambao walikuwa wakikosoa sana serikali ya kipindi hicho.

Humphrey nimefahamu kabla ya kuwa mwenezi na baada ya kuwa mwenezi.Siwezi sema namfahamu personaly au ananifahamu personally ila huwa tunakutana katika matukio mbalimbali ambapo huwa tunakutana sisi watu ambao TUNA VERY HIGH PROFILE kiasi kwamba tunakwepa unnecessary publicity tukiwasikiliza hawa watu kama POLEPOLE ambao wana VERY LOW PROFILE kiasi kwamba hutafuta unnecessary publicity.

YOTE kwa YOTE lengo langu mimi sio kujadili uhusiano wangu na POLEPOLE hapana leo nataka nijadili Tabia mpya ya POLEPOLE KUPIGA KELELE ambayo naifananisha na tabia watu wanaoanza kuota kipara kipya.

Kipara hutokea katika hatua fulani maishani kwa sababu mbalimbali,kwa wengine huwa tukio la kupoteza nywele huwashtua sana na kuwaumiza kiasi kwamba hujikuta kila siku wakihangaika ama kutafuta tiba ya kuotesha nywele au wakiadili ntindo wa kunyoa na kunyoa zungu(Upara).Yote hii ni sababu ya kipara kipya.

  1. Polepole lazima kwanza akubali kwamba sasa kuna uongozi mpya na yeye yupo nje (influence yake ni ndogo sana).
  2. Pili lazima atambue kwamba kama alishindwa kujenga Raport na Madam President wakati akiwa VP hawezi fanya hivyo sasa hivi kwa urahisi kwani kwa sasa hana access hio.
  3. Tatu kama kuna mabadiliko alitaka kuyafanya wakati akiwa mwenezi na ahakuyafanya hawezi kuyafanya sasa hivi kwa kelele zake
  4. Nne kama haridhiki na cheo cha ubunge alichopewa basi anaweza kujiuzulu ili kuonesha kwamba anaprotest badala ya kukaa nje kupiga kelele huku bungeni akiwa anasema tu Ndiooooooooooooo
  5. Tano kama anaona misingi walioijenga wakati wa JPM ni bora sana basi atulie ili wengine nao wajenge Misingi ambayo wao wanaiona ni BORA
  6. Sita yeye sio Mwenezi wa kwanza kutolewa na wala hatakuwa wa Mwisho,kila zama na kitabu chake na sasa ni Zama nyingine
  7. Kama anafikiri yeye ana uelewa sana wa uongozi na diplomasia basi atulie kwani kelele zake hazimjengi bali zinambomoa
Mwisho ushauri wangu wa bure kwa wote ambao wanapenda SIASA na maswala ya uongozi.Unapopewa nafasi ya kuwatumikia watu watumikie kwa kadiri ya uwezo na nafasi yako.Unapomaliza wakati wako"BOW OUT WITH HONOUR". Cheo ni koti la kuazima lazima urudishe kwa mwenyewe na uongozi ni kupokezana.
WEWE MAKAMBA WEWE!! MBONA ZAIDI YA MIAKA MITANO ULIKUWA NI MKOSOAJI MZURI SANA WA SERIKALI KUPITIA PROFILE YAKO YA KIGOGO, WEWE KUKOSOLEWA UNAONA NONGWA!! KILA MTANZANIA YU HURU KUTOA MAONI YAKE HIVYO USIMFUNGE MDOMO POLAPOLE.
 
Andika Bora kabisa hili.
Again . Thank you
 
Back
Top Bottom