Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,931
2,000
Nyota njema huonekana asubuhi.

Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe.

Sina uhakika ni nani mwingine hapa nchini ni mtoto wa Kiroho wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere zaidi ya huyu mahabusu Freeman Mbowe.

Sisi Wajanja wa Mzizima tunamkubali Mwamba.

Mungu ampe wepesi na kumtoa gerezani!

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
1,263
2,000
Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.

Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.

Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
 

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,441
2,000
Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.

Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.

Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
Wapinzani wa tanzania hakuna wasichoamini hata wakiambiwa mama maria nyetere ni gaidi na akasimamishwa mahakamani watakubali

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Nisamehe

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
579
500
Yohana Mbatizaji heshima yako mkuu. Leo Roho Mtakatifu amekukufunulia maneno ya hekima na ya kufikirisha sana. Mungu was Mbinguni azidi kuingarisha nyota za Mwamba kwa namna ambayo wengi wetu hatujui dhamira yake ya kumpitisha katika tanuru hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom