Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru zilizokuwa zifanyike December 2015 zikapanue barabara ya Morocco-Mwenge kufikia njia 5.
Pesa za maadhimisho ya sherehe za uhuru 2015...
Mwezi uliopita November tarehe 4 Tanesco pamoja na Msemaji mkuu wa serikali walitoa taarifa kuwa kwa sasa tunazalisha Megawatt 1606.
Tulipongeza hatua hii maana si haba kwa nchi Kama yetu kufikia...
Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao...
Watanzania wenzangu, hongereni kwa nchi yetu kutimiza miaka 60 ya Uhuru.
Jana katika hotuba Yake kwa Taifa Mh Rais atoa takwimu mbalimbali ya wapi tulipokuwa kipindi tunapata Uhuru na wapi...
Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za...
Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya uhuru tangu kuondoka kwa wakoloni wa Kiingereza nchini mnamo 1961.
Tanzania imepiga hatua katika Mambo mbalimbali bàada ya Uhuru huo kisiasa, kijamii na...
Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka...
Tumeshuhudia Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka Huu Uko Nchini Malaysia Ukimurejesha Madarakani Waziri Mkuu Msaafu Mudathir Mohamed Role Model Wa Mh.Zitto Kabwe Kupitia Chama Cha Upinzani Kwa...
Kongamano hilo Litafanyika makao makuu ya Chama Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko kinondoni mtaa maarufu sana wa Ufipa tarehe 9/12/2021
Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi...
Mwezi uliopita baada taifa letu kupata taarifa kuwa kuna upungufu wa umeme kiasi cha Mw 345 taifa letu liliwekwa tayari kwa ajili ya kuanza kuzalisha umeme kwa njia mbadala badala ya maji.
Kila...
Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine.
Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema.
Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko...
Hivi ni nini majukumu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa ya kila siku?
Inashangaza kuona kila anapopita Mheshimiwa Waziri mkuu au Mheshimiwa Rais kubaini ubadhirifu wa fedha za serikali...
MEYA MOSHI ATOA MASHINE YA PHOTOCOPY PRINTER NA
MAGUNIA YA MAHINDI
Leo Mstahiki Meya Manispaa Ya
Moshi Ameshiriki Kikao Cha Wazazi Shule Ya Msingi Mandela Iliyoko Manispaa Ya Moshi,Ambapo Katika...
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama...
Wananchi a.k.a. Raia tumechoka,
Hivi ikitokea wazazi wamefariki na wakaacha mali halafu watoto wakabaki matabaka mawili wakubwa na wadogo, wakubwa wanataka wawanyonye ama kuwadhurumu wadogo , je...
Naomba kuelimishwa kuhusu hii mnayoita Chadema Digital ni nini hasa?
Je, mmewaiga CCM ambao wanasajili wanachama wao kwa njia ya mtandao tokea enzi za hayati Magufuli?
Au mmeiga ile style ya...
Komredi Polepole alisema kimsingi Katiba huandaliwa na Rais anayetoka madarakani kama ilivyokuwa mzee Kikwete lakini siyo aliyeingia madarakani.
Jaji Warioba anasema Katiba ni sheria ambayo...
"...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.