Kiongozi yupi ndani ya CCM anaweza kuvumilia kukaa mahabusu japo kwa wiki moja kwa ajili ya Wananchi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha?

Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na nafamilia au mishahara ya serikali wanayolipwa?

Kiongozi gani wa ccm ambaye anaweza kutoka adharani na kusema kuoubali kila kitu cha mkubwa SIYO uzalendo Bali utumwa? Kiongozi gani anaweza akatoka nakusema Ili nchi iende lazima ukosoaji uwe mkubwa kusaidia panapovuja kujuikana?

Yupo wapi kiongozi wa CCM mwenye uchungu na wananchi ? Yupi anawatetea wananchi liwe jua au mvua? Tuntaje kama yupo.
 
Komredi Polepole

Huyo mwingine ana uchungu na wachagga siyo wananchi lakini kiukweli siyo gaidi!
 
Nilikaa Madale pale siku 5 lakini niliona Kama ninekaa mwaka.

Panachoshaa, joto, harufuuu.

Kule sio pazuri
 
Huyo kiongoziwa dizaini hiyo ccm hakuna mtu ambaye anaweza kukamata na kuwekwa ndani ni mhalifu tu na hanabudikuvumilia sasa ccm hakuna wahuni kama mbowe na ndiyo maaa mbowe yuko ndani kwa uhuni wake na ccm wako wanaendelea na majukumu ya kuwatumikia wananchi chadema wakiacha uhuni nao hakuatkuwa na mtu wakukaa jela
 
huyo kiongoziwa dizaini hiyo ccm hakuna mtu ambaye anaweza kukamata na kuwekwa ndani ni mhalifu tu na hanabudikuvumilia sasa ccm hakuna wahuni kama mbowe na ndiyo maaa mbowe yuko ndani kwa uhuni wake na ccm wako wanaendelea na majukumu ya kuwatumikia wananchi chadema wakiacha uhuni nao hakuatkuwa na mtu wakukaa jela
We kenge hata kuandika hujui! si bora ungeficha upumbavu wako kuliko kujianika?
 
Komredi Polepole

Huyo mwingine ana uchungu na wachagga siyo wananchi lakini kiukweli siyo gaidi!
Mama na Siro wasikusikie, walisema wana ushahidi wa dhati juu ya ugaidi wake na kwamba kuna baadhi ya watu wake walishahukumiwa na kufungwa in connection with this case.
 
Back
Top Bottom