Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta...
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii. Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.
Pamoja na yote anayosema na nia...
Mimi nina elimu ya juu ya biashara nimekuwa nikimfuatilia Mh Kishimba hasa juzi alipokuwa CBE ana mawazo makubwa yanayowazidi wasomi wengi.
Mama anaweza kumpa uwaziri ila asiwe na wizara Maalum...
MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO?
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu!
Amani iwe kwako!
Miezi...
Wadau nawasalimu nimekuwa anafuatilia matangazo ya maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Uhuru kupitia TBC.
Kinachonishangaza ni watangazaji wa TBC wanatangaza kuwa tunaadhimisha miaka 60 ya...
ANAYEGAWA MALI ZA MAREHEMU NI MSIMAMIZI WA MIRATHI NA SI MAHAKAMA.
Na Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Unapokwenda kufungua shauri la mirathi mahakamani haimaanishi kuwa unakwenda kuiomba...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo...
Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya uhuru tangu kuondoka kwa wakoloni wa Kiingereza nchini mnamo 1961.
Tanzania imepiga hatua katika Mambo mbalimbali bàada ya Uhuru huo kisiasa, kijamii na...
UFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada...
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na...
Huu ni ujumbe wa maadhimisho ya kumbu kumbu ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ninaoupeleka kwa watu wote na hasa Vijana wa Tanzania .
Unapokuwa kwenye nchi kama Tanzania , ambayo SIASA NI UADUI...
Msanii wa miondoko ya reggae Ras Mtimanyongo amesema leo tunasherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika uliopatika kwa njia ya mazungumzo yaliyoongozwa na baba wa taifa aliyelipiwa nauli...
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo...
Abuu Kauthar
Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo...
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu...
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo.
Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa...
Kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa...
Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020
Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki...
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.
2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.