Sherehe za Uhuru kitaifa mwaka 2021 ni Dodoma au Dar es Salaam?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,836
Mimi ni mpenzi wa gwaride na huwa napendelea kushuhudia uwanjani siyo luningani

Naomba kujuzwa sherehe za mwaka huu zinafanyikia wapi kitaifa.

Happy birthday Freeman Mbowe!

Updates; Sherehe zitafanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam by ITV

Nawashukuru wote na Mungu wa mbinguni awabariki sana.
 
Dar es Salaam, SSH hawezi peleka hizo sherehe Dodoma, kwake Dodoma na mikoa yote ya ndani ni maskini, washamba na hawastahili hizo heshima. Na sherehe zinazofuatwa zitapelekwa Zenji.
 
Mimi ni mpenzi wa gwaride na huwa napendelea kushuhudia uwanjani siyo luningani

Naomba kujuzwa sherehe za mwaka huu zinafanyikia wapi kitaifa.

Happy birthday Freeman Mbowe!
Bwashe gwaride litanyikaje wakati makomandoo wapo mahabusu Keko? Ling'wenya, et al.
 
Hata mimi ni mdau wa gwaride lakini siku hizi mpaka leo nimeshindwa kujiandaa kwa sababu ya ufinyu wa taarifa.hivyo bado sijaaga.ila nimeshuhudia magari ya kijeshi wakipeleka vifaa vita dar.na nimeshuhudia ndege vita vikifanya mazoezi dar.i hope itakuwa mkoani dar na sio makao makuu ya dodomya.
 
Labda kwa sababu mabalozi wanaishi Dar es salaam!
 
Mimi ni mpenzi wa gwaride na huwa napendelea kushuhudia uwanjani siyo luningani

Naomba kujuzwa sherehe za mwaka huu zinafanyikia wapi kitaifa.

Happy birthday Freeman Mbowe!
Mwagito kwani Malkia Uhuru aliukabidhi Dodoma au Dar es Salaam?
 
Dar es Salaam, SSH hawezi peleka hizo sherehe Dodoma, kwake Dodoma na mikoa yote ya ndani ni maskini, washamba na hawastahili hizo heshima. Na sherehe zinazofuatwa zitapelekwa Zenji.
We unaona dodoma n makao makuu au mkoa tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom