Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali hebu mtumieni huyu mwalimu kurudisha heshima ya shule za serikali MJADALA kuhusu ubora wa shule binafsi, kuchangia kuongoza katika matokeo ya mtihani wa mw isho, ambao umekuwa...
10 Reactions
114 Replies
24K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara amesema wataendelea kuimarisha miundombinu ya mkoa wa Dar es salaam kwa sababu hilo ndio lango la nchi. Waitara amesema serikali imehamia Dodoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
By Talanta Mhanga kupitia twitter: "Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na...
3 Reactions
0 Replies
907 Views
Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa...
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika linafanyika muda huu kwenye Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Dar es Salaam , Taarifa zinaonyesha kwamba watu wote maarufu na wanaoheshimika nchini...
15 Reactions
48 Replies
5K Views
Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema ya kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO, ni alama isiyofutika, iko kama chanjo ya...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu. FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru... Tunajivunia mafanikio mengi.. Tunajitahidi kufanya mengi.. Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Matukio Katika Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa pamoja na Wananchi katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Tanzania marked its 60th independence anniversary on Thursday, with President Samia Suluhu Hassan hailing the country's progress even as fears grow over political freedoms in the East African...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Leo tarehe 9 Disemba, sehemu moja ya Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania, iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika, inatimiza umri wa miaka 60 tangu Uhuru wake. Ni siku muhimu mno kwa Taifa letu, kwa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani. Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani. Je, huku...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo. Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine Tukifurahia Miaka 60 ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam za Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto Juu ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika Alhamis, 9 Disemba Leo tarehe 9 Disemba, sehemu moja ya Jamhuri yetu ya Muungano wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa kilimo Prof Mkenda hebu tufanyie wepesi sisi wakulima kwani bei za mbolea na mbegu zinakatisha tamaa. Hivi hamuwezi kuweka ruzuku kutoka kwenye zile fedha za Corona? Mungu wa mbinguni...
1 Reactions
3 Replies
604 Views
Nimejaribu kuchunguza kwa umakini nchi hizo mbili za Tanganyika na Tanzania na kubaini kuwa zinatofautiana Sana tena kwa mbaali, hizi sherehe za leo ni kweli kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania na sio...
1 Reactions
2 Replies
695 Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nchi hii, ili ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma upungue kwa kiasi kikubwa(najua hauwezi kwisha), yoyote ataepatikana na hatia ya ubadhirifu, wizi na ufisadi wa mali ya umma, anyongwe hadharani...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom