Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi.
Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani.
Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo...
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi...
Wakati tunapata uhuru shule binafsi Za msingi na secondary zilikuwepo Kibao
Aliyeandika hotuba na wote walioipitia kabla kumkabidhi wawajibishwe
Kwenye eneo la hotuba yake linalohusu elimu...
Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii.
Rais Samia Suluhu...
Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na...
Raisi ni cheo kikubwa sana kinachotawala nchi yeyote duniani hapa
Majukumu ya Raisi ni mazito sana kwasababu anatawala nchi yote kwa ujumla na kuhakikisha kila jambo linakwenda kwa usahihi kama...
Ndugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu!
Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui!
Kama...
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.
Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness...
Hakika nalipongeza jeshi letu, JWTZ, kwa umahiri na uweledi katika shughuli zao za Ulinzi wa nchi. Hawa wapiganaji , si wa enzi zetu za JKT, kupigana kwa singe na bunduki za SAR na sana sana SMG...
Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni...
Kwa jinsi kesi inavyoenda na hukumu ndogo ndogo zinavotupiliwa mbali ni wazi tayari kuna malekezo ya wapi kesi ifike na mpaka ifike huko basi muda utakuwa umsogea sana rais atakuwa ameisha onesha...
Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe. Samia...
Viongozi hao akiwemo Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Sharrifa Suleyman, wamekamatwa kwenye kikao cha ndani kwa tuhuma nzito ZA KUFANYA KIKAO SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU WA TANGANYIKA, Viongozi hao...
Na Ezekiel Kamwaga Mchambuzi
7 Disemba 2021
CHANZO CHA PICHA,MAKTABA-TANZANIA
Desemba 9 mwaka 1961 - mambo makubwa mawili yalifanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika; Mosi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, na mgeni wake Mhe. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakiwa katika picha yenye waasisi wa Mataifa mawili Tanzania na Kenya Hayati...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili...
Ndugu Erick Khamis mteule wa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliteuliwa April 4, 2021 hawezi kuchomoka sakata la uingiaji wa mkataba na Kampuni ya Kituruki.
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.
Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama...
Spika mstaafu mzee Msekwa amesema yeye alishiriki kwenye mchakato wa uundwaji wa katiba zote kuanzia ile ya Tanganyika ya 1962 hadi ile ya Tanzania ya 1977.
Msekwa amesema Katiba ni hitaji la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.