Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini...
Hao ndiyo wanasiasa wetu wanaoamini katika maneno bila vitendo.
Picha hapo juu ni mmoja wa wanasiasa machachari mno linapokuja suala la nadharia kuhusu kupambana na Corona ajabu katika vitendo ni...
Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi,
Serikali ya awamu ya Sita...
1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je...
Habari wadau,
Zoezi la kuhamisha wamachinga waliokuwa wameziba njia za watembea kwa miguu lilifanyika kwa malengo mengi ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu kupata njia za kupita. Wenye magari...
Ukisha wagawa watu hutoweza kuwaongoza. Samia ashafeli mapema hatofanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Samia alipopata madaraka ukweli watanzania wengi walikuwa wanampenda Sana, si CCM, si Chadema Wala...
Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika.
1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Halmashauri ya Chato kukamilisha Ujenzi wa stendi katika Halmashuri hiyo ili kuwezesha wananchi kuingia na kuanza Biashara...
Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka...
Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya...
Sasa ni wazi hali imeanza kuwa tete kwa wafanyabiashara washirika wa vigogo wa serikali na watoto wao... Kampuni ya Home Shopping Centre washaanza kufungasha virago na kukimbia kusikojulikana...
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali
Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi...
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi...
Mh Mbowe muda huu tunajua upo gerezani ukiwa unalindwa na pembe 4 za kuta za magereza.
Lkn huku mitaani unakumbukwa kila siku na mamilioni ya watanzania wapenda amani.
Naikumbuka hii siku ulivyo...
Ndio kama mnavyosoma hapo juu, Style inayotumika sasa inaitwa ZIGZAGA, huyu kule huyu huku, ni mwendo wa mashambulizi bila kukoma.
Kwa siku mbili mfululizo Mwenyekiti wa Bawacha Mh Sharrifa...
Hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan ukilinganisha na hotuba za watangulizi wake ni fupi fupi sana hadi zinaboa. Vipi ndo itifaki zimebadilika ama Kuna tatizo mahali?
Naomba kuwasilisha.
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika...
Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge - MUUNGWANA BLOG
ais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Interchange ya ajabu sana hii.
1. Kutoka kimara kwenda buguruni kuna wakati foleni inavuka ubungo maji
2.pamoja na ukubwa lakini hakuna sehemu za kupita wapita kwa miguu.
3. Kuna nafasi kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.