Mwita Waitara: Pamoja na Serikali kuhamia Dodoma lakini Dar es salaam itabakia kuwa ndio lango la nchi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,603
141,420
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara amesema wataendelea kuimarisha miundombinu ya mkoa wa Dar es salaam kwa sababu hilo ndio lango la nchi.

Waitara amesema serikali imehamia Dodoma lakini Dar es Salaam ndio lango la nchi na huo ndio ukweli.

Chanzo: ITV habari
 
Mungu turehemu,,Binadamu wengi wanaangali opportunity tuu..Kwa JPM asingeongea Hivyo..Unafiki ndio Maisha ya wanasiasa.
 
Bia tam.....
Asikuambie mtu bia tam x 8
Bia tam......
Heeheeee he bia tam
 
Angekuepo JPM angeongea huu upupu..mzee wa bia
Kaongea Upupu au ndio ukweli wenyewe,pamoja na pombe zake lakini katika hili ameongea ukweli.Dar es salaam so far ndio kila kitu.Dodoma tuwaachie wanasiasa!
 
Back
Top Bottom