Askofu Bagonza: Wanaomshughulikia Mbowe ni sawa na waliomshughulikia Mandela (Makaburu)

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,985
144,312
By Talanta Mhanga kupitia twitter:

"Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" - Askofu B. Bagonza.
 
Back
Top Bottom