Kishindo: Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni leo, Kinondoni yazizima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,113
Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika linafanyika muda huu kwenye Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Dar es Salaam , Taarifa zinaonyesha kwamba watu wote maarufu na wanaoheshimika nchini Tanzania , wale ambao ni wapinga dhuluma watatoa mada.

Pichani ni vijana kadhaa wa Dar wakiingia kushiriki kongamano hilo.

Viongozi_wa_%40bavicha_taifa_wakiwasili_katika_viwanja_vya_makao_makuu_ya_chama_tayari_kuanza_...jpg
 
Mbona jengo hamjaonyesha MaCHADEMA vipi? Halafu hako kajumba ni kabovu kaje kawaangukie muanze laumu serikali. Akili zenu hovyo sana
 
Mbona jengo hamjaonyesha MaCHADEMA vipi? Halafu hako kajumba ni kabovu kaje kawaangukie muanze laumu serikali. Akili zenu hovyo sana
Wewe ni fisi kweli. Nyie mliojimilikisha mali zilizojengwa na wananchi wote wakati wa chama kimoja unakandia majengo ya vyama vingine. Tulipoanza mfumo wa vyama vyingi majengo, viwanja na mali zote zilizopatikana wakati wa chama kimoja zilitakiwa kuwa ni mali za serikali na kila chama kianze upya.
 
Mbona jengo hamjaonyesha MaCHADEMA vipi? Halafu hako kajumba ni kabovu kaje kawaangukie muanze laumu serikali. Akili zenu hovyo sana
Upumbavu at its best,chama ni wanachama sio majengo!chama dola kimetuibia sana watanzania na ndio maana bado umasikini,ujinga na maradhi bado yapo hapa nchini.
 
Mtaa wa Ufipa maji yamejaa hilo kongamano linafanyikia wapi?
Kujaa kwa maji mtaa wa Ufipa ni matokeo ya kufeli kwa chama dola,mbunge wa kwanza(crocodile)aliwaachia kinondoni safi na drainage system yake safi,ccm(lizards)mkaharibu kila kitu mpaka ikafikia mitaa inajifunga yenyewe kwa uchafu,open area zote mkajimilikisha kwa greed kubwa mliokua nayo,shame on you
 
Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika linafanyika muda huu kwenye Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Dar es Salaam , Taarifa zinaonyesha kwamba watu wote maarufu na wanaoheshimika nchini Tanzania , wale ambao ni wapinga dhuluma watatoa mada .

Pichani ni vijana kadhaa wa Dar wakiingia kushiriki kongamano hilo

View attachment 2038273

09 December 2021
Makao Makuu ya CHADEMA
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni Leo​

Kongamano la Katiba linaloandaliwa na Baraza la vijana Chadema BAVICHA linafanyika makao makuu ya chama cha CHADEMA , Kinondoni jijini Dar es Salaam Tanzania

Source : DARMPYA TV
 
Source : MwanaHALISI TV
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom