Sasa ni dhahiri kwamba CHADEMA Digital yaanza kusambaratisha upande wa pili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,477
2,000
Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema ya kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO, ni alama isiyofutika, iko kama chanjo ya NDUI, kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania.

Njama zote za kishamba za kuzuia wenye kumbi za mikutano kuwapa kumbi hizo Chadema zimegonga mwamba, na zimeshindwa kuzuia mafuriko ya wananchi kujitokeza kusajiliwa, tunazo taarifa za wenye kumbi kupewa vitisho ambapo wameelezwa kwamba atakayeruhusu Chadema Digital kwenye ukumbi wake atapewa kesi ya Uhujumu Uchumi ama utakatishaji pesa.

Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa maeneo kulikotolewa onyo hili, ambako CHADEMA DIGITAL ilifanyika kwenye Ukumbi wa MUNGU, chini ya miti na kufanikiwa kwa kishindo. Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wenye kumbi za mikutano waliopuuza Vitisho na kukubali Chadema digital kwenye kumbi zao, wala hawana haja ya kuogopa, kwa vile hakuna mahali popote kwenye dunia tuliyomo ambako SHETANI aliwahi kumshinda Mungu.

Maeneo mengine walikozuiliwa waliamua kufanyia usajili kwenye Kolido na kwenye vichochoro vya wazi, lakini zoezi hili halijawahi kukwama na halitasimama, Gari lishawaka, Pisha njia.

Wale_wanaopambana_kujaribu_kuua_%40ChademaTz_jifunzeni_hapa%2C_sijui_kama_mnaona_vizuri_au_mme...jpg
 
Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
25,372
2,000
Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema , ya kusajili Wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO , ni alama isiyofutika , iko kama chanjo ya NDUI , kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania .

Njama zote za kishamba za kuzuia wenye kumbi za mikutano kuwapa kumbi hizo Chadema zimegonga mwamba , na zimeshindwa kuzuia mafuriko ya wananchi kujitokeza kusajiliwa , Tunazo taarifa za wenye kumbi kupewa vitisho ambapo wameelezwa kwamba atakayeruhusu Chadema Digital kwenye ukumbi wake atapewa kesi ya Uhujumu Uchumi ama utakatishaji pesa , Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa maeneo kulikotolewa onyo hili , ambako CHADEMA DIGITAL ilifanyika kwenye Ukumbi wa MUNGU , chini ya miti na kufanikiwa kwa kishindo . Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wenye kumbi za mikutano waliopuuza Vitisho na kukubali Chadema digital kwenye kumbi zao , Wala hawana haja ya kuogopa , kwa vile Hakuna mahali popote kwenye dunia tuliyomo ambako SHETANI aliwahi kumshinda Mungu .

Maeneo mengine walikozuiliwa waliamua kufanyia Usajili kwenye Kolido na kwenye vichochoro vya wazi , lakini zoezi hili halijawahi kukwama na halitasimama , Gari lishawaka , Pisha njia .

View attachment 2021336
Watu wanajaa hadi mapangoni😅😅
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
12,922

Shikilia hapo hapo.

Huo usajiri wa kwenye uchochoro na chini ya miti, huo ndio usajiri wa kweli, achana na hayo maukumbi, hayasaidii chochote.
Huko kwenye kumbi hata mainzi mengi yanakuja kuchafua kazi zenu.
 
akilinene

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
451
500

Unajichosha na kukimbiza upepo mpaka unatia huruma. Agiza bia nakuja kulipa
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,477
2,000
Shikilia hapo hapo.

Huo usajiri wa kwenye uchochoro na chini ya miti, huo ndio usajiri wa kweli, achana na hayo maukumbi, hayasaidii chochote.
Huko kwenye kumbi hata mainzi mengi yanakuja kuchafua kazi zenu.
Tushasambaza upupu nchi nzima .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom