Spika mstaafu mzee Msekwa amesema yeye alishiriki kwenye mchakato wa uundwaji wa katiba zote kuanzia ile ya Tanganyika ya 1962 hadi ile ya Tanzania ya 1977.
Msekwa amesema Katiba ni hitaji la...
Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to...
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa Korosho za wakulima zimeshindwa kwenda mnadani katika vyama vya msingi vilivyo vingi kama si vyote.
Kinachoelezwa chanzo ni ukosefu wa Magunia ya kuhifadhia...
Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake:
Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa:
"Ombeaneni ninyi...
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya...
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya...
Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha...
Ile kampeni ya kisasa ya kusajili Wanachama wake kidigitali inayoitwa Chadema Digital , Imeingia kwa kishindo Mkoani Njombe.
Shughuli za kusajili wanachama zinaendelea.
Kwanini hakutumia neno " baba yako?"
Hii ni dharau na utovu wa adabu kuwahusisha akina mama kwenye jambo ambalo hata halikuwepo kwenye maudhui ya sherehe za Uhuru siku ya leo.
Jamani tujitahidi...
Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya CCM.
Hii nchi ni mali ya Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali...
Wana Jf
Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu...
Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021.
Rais Kenyatta amekubali ombi hilo.
===
Rais...
MEYA MOSHI ACHANGIA MILIONI MOJA UJENZI WA MADARASA YA SAMIA
Meya Wa Manispaa Ya Moshi Juma Raibu ,Amechangia Tshs Million Moja Kwaajili ya Ujenzi Wa Madarasa Mawili Ya Shule Ya Msingi Uhuru...
Salaam.
Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani.
Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM...
Hakika mwenyezi Mungu kaiwekea fumbo zito kesho yetu!
ILIKUWA NI ARUSHA, MKUTANO ULIOTAMBULIKA KWA JINA LA "SAFARI YA MATUMAINI" KATIKA KUWANIA TIKETI YA URAIS NDANI YA CCM
Enzi hizo hoja...
Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu;
“Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa...
Nisiseme maneno mengi!
Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu...
Huyu mtu kwanza huwa ni kigeugeu. Kama unakumbuka Wenyeviti wa CCM waliokuwa Timu Lowasa naye alikuwa ni mmoja wao. Ikaja Lowasa alipotemwa akahamia kwa JPM na ili kumpendezesha JPM hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.