Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mataifa mengi Duniani, watu walipigana, watu walipoteza uhai na mali, walipoteza wapendwa wao, siyo kwa sababu ya kutaka kupata shule, barabara, hospitali, majumba, magari, umeme, maji n.k; bali...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Alipata kusema, “If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Najaribu Kuangalia kiundani, ni sababu gani kubwa ya Lowasa na wenzie kuzalilishwa na chama chao, huku mwenyekiti wake ambaye pia ni swahiba wake mkubwa akiwa kimya?, nasema kuzalilishwa na chama...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
KUNDI linalomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati zake za kuingia Ikulu Oktoba, mwaka huu, linalojulikana kama ‘Friends of Lowassa', limeandaa tukio kubwa la...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni. Nimemkamia sana...
21 Reactions
182 Replies
23K Views
Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu...
46 Reactions
117 Replies
7K Views
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
ACT WAZALENDO, PUMZI 'lulu' YA WATANZANIA. Na: Suphian Juma Mimi naitwa Alliance For Change and Transparency, wengi wenu mnaniita kwa kiufupi ACT WAZALENDO. Nilizaliwa Tanzania mnamo tarehe Mosi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Heri ya X-Mas wanajamvi. Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
1-Zitto 2-lissu 3-Mbowe 4-Msigwa 5-Lema 6-Membe 7-Nape 8-Kinana 9-Makamba Jr na Sr 10-Abdul nondo 11-Mdude Chadema 12-Shangazi 13-Maria Sarungi 14-Mwele Malecela 15-Kigogo 2014 akaamua azushe...
16 Reactions
119 Replies
12K Views
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema Uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu, baada ya kuhusishwa na kashfa ya kampuni ya IPTL...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho...
34 Reactions
766 Replies
119K Views
Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Werema ametuhumiwa kumtishia kifo mbunge wa Kigoma Kusini mh David Kafulila,Imedaiwa kuwa jaji Werema alimtolea maneno hayo ya vitisho mh Kafulila jana...
14 Reactions
355 Replies
39K Views
Takriban kila jambo kinaweza kutizamwa kwa sura mbili,au zaidi,hasa kwa minajili ya kuangalia faida na hasara.Ni katika mantiki hiyo,baadhi yetu tunaweza kuthubutu kuangalia "upande wa pili wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida bunge la asubuhi limemaliza kwa mvutano mkali baada ya Kafulila kuomba muongozo juu ya ESCROW na wizi uliofanyika. Ndipo AG alipoitwa kutoa maelezo kwanza...
0 Reactions
190 Replies
29K Views
Back
Top Bottom