Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Werema ametuhumiwa kumtishia kifo mbunge wa Kigoma Kusini mh David Kafulila,Imedaiwa kuwa jaji Werema alimtolea maneno hayo ya vitisho mh Kafulila jana...
Takriban kila jambo kinaweza kutizamwa kwa sura mbili,au zaidi,hasa kwa minajili ya kuangalia faida na hasara.Ni katika mantiki hiyo,baadhi yetu tunaweza kuthubutu kuangalia "upande wa pili wa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida bunge la asubuhi limemaliza kwa mvutano mkali baada ya Kafulila kuomba muongozo juu ya ESCROW na wizi uliofanyika.
Ndipo AG alipoitwa kutoa maelezo kwanza...
Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea...
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amekerwa na kauli ya Balozi wa Uswisi nchini Olivier Chave, aliyesema kuwa Serikali ya Tanzania haijaonyesha nia ya dhati kutaka kuchunguza...
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko .
Alhadi Musa ambaye ni Shehe wa Mkoa wa DSM hajawahi kuficha mapenzi yake kwa chama chake cha ccm , wako wanaodhani kwamba huyu ni Mwakilishi wa kitengo...
Usafiri wa Majini
Kwa kushirikiana na sekta binafsi, kuendelea kuboresha
huduma za uchukuzi katika Bandari za mwambao kwa kufanya
yatuatayo:-
(a) Kuanza ujenzi wa gati Na. 13 na 14 katika Bandari...
Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje
1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass
2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass
3. Siku ya...
Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma
Malimbikizo ya Mishahara
Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili...
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.
Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.
Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na...
Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea.
Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni...
Hakika inashangaza sana Kuona Chama cha ACT MAENDELEO wakibadili GIA ANGANI na kuanza kuhubiri TUME HURU badala ya KATIBA MPYA. Tukio hili limetokea Mara tu baada ya KIKAO na MSAJILI wa VYAMA...
Nimeipitia orodha ya wajumbe 23 wa kamati iliyoundwa na msajili wa vyama vya siasa kupitia mapendekezo ya kikao cha wadau wa vyama vya siasa ambayo kimsingi yalijikita uundwaji Tume Huru ya...
Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara jana alfajiri alifanya ukaguzi wa kushtukiza pale Magufuli bus terminal na kuagiza abiria watozwe nauli halali.
Leo alfajiri Waitara ameibukia stendi ya...
Yawezekana viongozi wetu wa kisiasa wanashindwa kutatua matatizo yanayowahusu wananchi kwa sababu mbili: Moja, hawana uwezo mzuri wa kufikiri na kutatua matatizo (Upeo wa akili zao ni mdogo)...
Viongozi wa Serikali imesemekana kuwa wanashindwa kusema ukweli kwamba mashine ya CT Scan iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili haikunuliliwa na serikali bali ni msaada kutoka kampuni ya...
Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu.
Hakuna mtu...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi!
Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni...
TAASISI IMARA ILIYOJENGWA KWENYE MIOYO YA WATANZANIA
CHADEMA ni chama Kilichobebwa kwenye mioyo ya watanzania toka kuanzishwa kwake chini ya wazee wetu wakiongozwa na mzee Edwini Mtei,mzee hayati...
Baadhi ya zahanati na vituo vya afya vyenye huduma ya mama na mtoto mkoani Mtwara, zimeweka zuio kwa wazazi wasio chanja kuwapeleka watoto wao clinic, ili mtoto apatiwe huduma za clinic mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.