Kabla sijaandika lolote kuhusiana na hii mada, niseme tu tuvumiliane kwa matumizi ya neno "wapumbavu " kwani hilo si tusi na hata Baba wa Taifa alikuwa akilitumia inapobidi.
Tukirudi kwenye mada...
Hili tatizo si ajabu likaendelea na wala lisiishe kwasababu wanaotekwa wakipatikana hawawi wawazi kuhusu watu waliowateka(kumbukeni issue ya Roma) na kama kuna mashariti walipewa bali wanaonekana...
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania...
===
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zuberi Zitto aliliambia bunge siku ya Jumamosi (tarehe 4 Mei) kwamba alipokea barua kutoka kundi la waasi la tarehe 23 Machi (M23), ikiionya Tanzania dhidi ya...
Siku Moja Mara Baada ya jeshi la polisi nchini kutoa karipio Kali Kwa askari wake, Meshack Laizer baada ya kukiuka maadili ya jeshi hilo ,mama mzazi wa askari huyo,Rebecca Laizer ameibuka na...
Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika...
Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi.
By Zitto kupitia twitter:
"Wengi wakisikia UAE na...
Chadema ndio wanaongoza kwa kutuma salamu nyingi za Chrismas zikianzia salamu za Chama, salamu za Bawacha na salamu za Bavicha.
Lakini ACT wazalendo sijaziona salamu zao.
Maendeleo hayana vyama!
Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza...
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo...
Taarifa kutoka Moshi zinasema hatimaye wachagga karibia wote waliopanga kula sikukuu ya Christmas Moshi wamefanikiwa kutimiza ndoto zao kwa kuweza kuwasili kwa wakati vijijini kwao.
Jina la...
Kuwepo kwa wimbi la hamasa za chuki kujibu salamu za Heri si mambo ya kufumbia macho wala kupiga rungu.
Kama taifa, tumefikaje huku?
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Kwa hamasa kali zilizopo kufuatia...
Mara tu baada ya kifo cha JPM, waliibuka watu wengi kumdhihaki JPM, na baadhi wakitumia ukumbi wa Bunge kufanya hivyo. Mbaya zaidi hawakutokea Wabunge wa kupinga vitendo hivyo.
Hata viongozi wa...
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa Nafasi Tano Tanzania Bara Ndugu Dkt. Lucy Mwanisawa leo ametembelea Shule ya Sekondari Tawheed iliyopo Sumbawanga Mkoani Rukwa na kutoa Juzuu 100 na Fedha Tasilimu...
Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?
Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali...
Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi...
Katika biashara yeyote ushindani ndiyo kitu muhimu na matokeo yake kila mshindani anajitahidi kutangaza bidhaa/huduma yake na kwa ubora unaotakiwa. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na ushindani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.