• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Mzee Dogo
Reaction score
66

Profile posts Latest activity Postings About

 • kephametta
  salama tu kka habari za huko kaka,
  kwa aliyeko mbali na dar ni vizuri akawa na mwakilishi anayepatikana dar ambae atamuamini kwa ajili ya kuhakiki computer anazopanga kununua ikiwemo pia na malipo.Malipo yanaweza pia kufanywa na mnunuzi kwa njia ya kutransfer hela benki/M-pesa/Tigo pesa kutoka popote pale alipo ikiwa ni baada ya kuridhika na huduma na vifaa mwakilishi atakavyomthibitishia.

  kwa watakaonunua COMPUTER SETS 5 AU KUENDELEA,wakazi/wateja walioko dar au nnje ya dar (ARUSHA) watapewa nafasi ya discount au offer kati ya zifuatazo:

  (a)Usafirishaji hadi mkoani alipo bure bila punguzo la bei ya kifaa

  au

  (b)Atapunguziwa bei ya kila kifaa anachonunua kwa asilimia 5%.Bila kupatiwa huduma ya usafiririshaji


  NOTE:
  kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi,
  Tanzania:
  Sadikiel metta
  phone: 0715267939/0754267939

  UK :
  Kepha metta
  Phone :+447440037056
  whatsapp: +447462912558
  Email: kephametta@yahoo.com
  Mzee Dogo
  Ignorance is never out of style, it was in fashion yesterday, it is the rage today, and it will set the pace tomorrow!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top