Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.

Where is Jaji Warioba in this Task Force at least.

Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara wangewaambia nini wananchi.

Moja ya maazimio yao ni kuirekebisha Tume ya Uchaguzi, utairekebishaje bila kuibadili ibara ya 74?

=================
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:
- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
===============

C44BFC59-62CA-42C7-BD86-A3E3AAB70AC4.jpeg
ACFF40AA-D667-4F95-8435-D3DE815CD309.jpeg
3EF2C439-EAF6-4620-B6E7-D1BD37732C7D.jpeg

83993FBB-DA0A-45B1-8C36-1F88A4C66D3B.jpeg
 
Huyu msajili wa hovyo kuwahi kutokea. Amewajaza makada kindakindaki wa CCM na watu wengine wasio na vyama. Watatafuna hela tu hamna jipya hapo litalokuja. Wengine wana vyeo vya kuteuliwa hapo watakubali kuhatarisha vibarua vyao kwa kuleta hoja zinazopingana na kiti cha uteuzi? Upupu mtupu.
 
Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
 
Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Mambo yanaenda wapi, hao wajumbe sio wabunge kuwa watabadili katiba ni kutoa mapendekezo tu kwa aliyewatuma ambaye ni rais, wataundaje tume huru ya uchaguzi bila kurekebisha katiba, soma ibara ya 74 ya katiba wajumbe wote wanateuliwa na rais.

Tume ya Uchaguzi
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza tu kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
 
99% ni CCM na Affiliate wao
Hakuna kitu hapo zaidi ya kujitekenya na kucheka wenyewe

Huyo Mukandara ni CARICATURE wa Vasco Dagama hawezi kuleta mafanikio yoyote kama Mwenyekiti wa huo mkusanyiko!! He is a biased person who cannot serve in that capacity because of his conflict of interest!!! Sio hivyo tu hata katika kazi zake za REDET sio muadilifu hence he is disqualified to chair that group!!!

Given the composition of this group, obtaining an independent electoral commission from their recommendations is a non starter! Mtakuwa mnatafuna fedha ya wananchi bure tu na hamtafikia malengo yanayotegemewa!!!
 
Yaani hicho kikosi kazi cha msajili kinaenda kufanya kazi gani ambayo sheria na katiba haviko clear?

Sheria na katiba viko wazi kuhusiana na haki za vyama kufanya mikutano ya siasa nchini full stop. Haihitajiki Task force wala nini kwenda kudiscuss rights hizo.

Halafu kwenye mambo ya Siasa ukamuweke Sheikh au Padri kama mjumbe ili iweje?
 
Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Uzuri ni kwamba tozo kuongezeka na mengine na wewe yanakukong'ota kisawa sawa... Hata Polepole aliyekuwa anafurahia wenzake kuzibwa midogo naye yamemrudia..
 
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.

Moja ya maazimio yao ni kuirekebisha Tume ya Uchaguzi, utairekebishaje bila kuibadili ibara ya 74?

=================
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:
- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
===============

View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989
Punda akitaka kufa huwa anafanyaje??
 
Back
Top Bottom