Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waungwana Asalam aleykum! Nimemfuatilia ndugu yangu Humphrey Polepole kwenye darasa lake la uongozi kwenye utube, nami nimebaini yakuwa anafanya Jambo jema Sana kwa Taifa. Naamini mutakubaliana...
17 Reactions
73 Replies
5K Views
Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Jiulize, kwani Tanzania ilikuwa imefikia wapi na Mchakato wa Katiba Mpya, na ni nini kilichokuwa kimebaki ili kuikamilisha? Na pia jiulize, ni mambo gani yanatakiwa ili kuwa na Tume Huru ya...
1 Reactions
7 Replies
977 Views
Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu...
23 Reactions
48 Replies
4K Views
Hakika Mungu yupo kazini siku zote. Hapa chini ni video mtumishi wa umma anajitaja jinsi alivyo tumia ofisi yake kuisaidia ccm kwenye uchaguzi.
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni yule Waziri machachari aliyetokea Chadema mh Mwita Waitara leo ameibukia stendi kuu ya Arusha kuendelea na zoezi la kukagua tiketi za mabasi. Leo amelipiga faini ya tsh 500,000 basi la...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende...
4 Reactions
10 Replies
890 Views
Wana JF, Kuna article mtandaoni inasema Egypt inajenga sehemu itakayoitwa "Egyptian Industrial City in Kigamboni" nchini Tanzania. Sijaelewa vizuri maana yake. Tumewauzia sehemu ya nchi au...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Mh rais hatukuwahi kusikia popote juu ya kuuwawa kwa msichana pale rombo hotel mpaka leo mchungaji mwingira alipotangaza hadharani. Kuuwawa kwa watu sio jambo dogo tunaitaka serikali yetu ije na...
3 Reactions
4 Replies
723 Views
Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu. Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri...
18 Reactions
100 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Ruvuma Mh Aden Mayalla ameitaka serikali kuwapunguzia wananchi gharama za maisha kwani kila kitu kimepanda bei. Mayalla amesema tunapofunga mwaka 2021 ni vema...
1 Reactions
8 Replies
633 Views
Soma post vizuri kabla hujajijbu hoja, kama mtu anayejua anachoema. Kila nchi inahitaji wawekezaji, lakini lazima tuwe waangalifu na kutunza uhuru wetu kama post inavyosema, tusipokuwa makini...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati huu Wachaga tukiwa Moshi tunasherehekea Sikukuu ya Noel, tunamshukuru pia Mungu kwa Awamu ya Sita. Leo hii tuna furaha na amani BP zimeshuka, Sukari ziko leval, hatuna wasiwasi wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown. Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Hili suala la umri wa Lowassa lina ukakasi,ifike pahala aseme umri wake sahihi.Taarifa zilizopo kwa umma ni kuwa alizaliwa mwaka 1953. Nikimlinganisha na baadhi ya wanasiasa wafuatao initia...
16 Reactions
329 Replies
41K Views
WanaJF Kulingana na sheria za kijeshi (military laws /martial laws ukishakuwa askari utakufa kuwa askari, ukistaafu utumishi wako kwenye vyombo vyetu vya utumishi utabaki kuwa askari wa akiba...
20 Reactions
201 Replies
22K Views
Back
Top Bottom