Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa.
Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema...
Wakati huu Wachaga tukiwa Moshi tunasherehekea Sikukuu ya Noel, tunamshukuru pia Mungu kwa Awamu ya Sita.
Leo hii tuna furaha na amani BP zimeshuka, Sukari ziko leval, hatuna wasiwasi wa...
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.
Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali...
Hili suala la umri wa Lowassa lina ukakasi,ifike pahala aseme umri wake sahihi.Taarifa zilizopo kwa umma ni kuwa alizaliwa mwaka 1953.
Nikimlinganisha na baadhi ya wanasiasa wafuatao initia...
WanaJF
Kulingana na sheria za kijeshi (military laws /martial laws ukishakuwa askari utakufa kuwa askari, ukistaafu utumishi wako kwenye vyombo vyetu vya utumishi utabaki kuwa askari wa akiba...
Mama mzazi wa askari Meshack Laizer Bibi ,Rebecca Laizer ameibuka na kuiomba Serikali iingilie kati suala hilo kwani sasa mwanae anatishiwa maisha na baadhi ya askari wenzake kumfuata nyumbani...
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais...
Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza...
Safari ya Siyoi na wenzake kina Kitilya huenda ikawa imeanza kwani sasa kesi yao imehamishiwa Mahakama ya Kisutu.
Huu huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa ahueni kwao!
========
Asam said;
Siyo...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege...
By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter).
"Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya...
Tunakumbushana tu kwamba dunia hii ni pahala pa shetani.
Yesu Kristo alisema dunia hii ni giza.
Siasa ni kazi za shetani na huo ndio ukweli mchungu.
Mungu wa mbinguni awafungue macho muweze...
"...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5."
"...INASIKITISHA sana!"
"...hata...
Naibu Waziri wa Habari amewaagiza vijana walioshinda tuzo za kiswahili za Shaaban Robert watunge wimbo kumsifu Rais Magufuli kwa anayoyafanya kisha wimbo huo utarekodiwa katika Studio za TBC kwa...
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari...
Najua Chadema hawajahudhuria ule mkutano wa Jaji Mutungi lakini hoja zao ziliwasilishwa na KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe.
Katika orodha ya wajumbe walioteuliwa na Jaji Mutungi kuangalia...
Kwa nini baada ya ujio wa huyo mwamba wa fitina za Ulimwengu Tanzania yale yote hasa yahusuyo haki za binadamu hayapigiwi kelele tena kwa uzito ule uliotumika wakati wa Utawala wa JPM?!
Tony...
Kheri ya Christmas waungwana.
Ni takribani miezi sita sasa tangu tuanze kulipa tozo za uzarendo. Kama sijakosea tuliambiwa kwamba hii pesa inaenda kutengeneza barabara za vijijini.
Sasa naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.