Waliomuweka Mandela jela wanataka kupiga mnada ufunguo wa jela wamjengee makumbusho; waliomuweka jela Mbowe walianza kuchukua fedha na mali zake

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba alichokuwa anaishi Mzee Mandela gerezani. Funguo hiyo imepangwa kupigwa mnada na wazungu huko ulaya Tarehe 28/12/2021. Serikali imepingana na mpango huo ikidai haikushiriishwa.

Hapa tunajifunza Nini, kwamba pamoja na Mandela kuwa Rais lakini waliomfunga waliendelea kushikilia funguo za gereza. Walizishikilia may be wakiamini ipo SIKU watamrejesha Gerezani au walishilikia Kwa sababu zakujipatia fedha kutoka Kwa wale waliompenda Mandela.

Niwakumbushe tu kwamba Mhe Mandela pamoja na kuwa Rais wa Afrika Kusini lakini aliendelea kubaki kwenye vitabu kama Gaidi Hadi anafariki. Means Mandela Kwa nguvu aliyokuwa nayo waliamini wakideclare siyo Gaidi may be angeweza kuwatawala hata wao. Au yao ya ukatili na kutompenda ilipelekea wasitamani akiwa Huru.

Hapa Tanzania imetolea kinyume chake' wametoka watu huko wamepewa madaraka badala wapambane kuondoa umasikini wa Watanzania wamekwenda kupamabana na Mali za Watanzania wakawafilisi. Mbowe kabla awajamuita Gaidi walivyuma Bilcanas, wakavamia madhamba yake na mwisho wakafungia akaunti zake nakutoa pesa. Kwa roho mbaya na ukatili wakamkamata wakamweka ndani mara kadhaa then wakahitimisha Kwa Ugaidi wa michongo. Hawa wanaofanya haya hawana tofauti na makaburu wa AFRIKA Kusini. Ukiwauliza Mbowe kawafanya Nini mmoja mmoja hakuna cha kujibu, ni ukaburu TU umewajaa. Hawa waliojawa na ukaburu siyo vijana Bali niwazee watu wazima wanaojua fika kwamba Taifa likipasuka wao watakuwa na muda mfupi sana wa kuwepo Dunia. Hawa ni wazee ambao hawajawahi kuishi kwa shida, miaka Yote wanalipiwa kuanzia nyumba Hadi mafuta ya kupikia hakuna wanachonunua wananunuliwa. Hawa wanaofanya haya ni wazee ambao ukikutana nao utasema wanajiandaa kwenda Mbinguni kumbe wameshakata tiketi kwamba KULIKO CCM itoke madarakani Bora wafe waende kuzimu.

Hawa ni makaburu kama wanaotaka kuuza ufunguo wa jela huko ulaya wapate fedha zakujenga kitega uchumi kupitia mateso waliyompa Mandela. Hawa makaburu wa 2021 naamini wanafanya haya baada ya kudhiba dhuluma na kuishi kwao Kwa Ra nikuona magereza yamejaa. Kusherekea kwao sikukuu kunanoga wakisikia maskini wamejaa magerezani, sikukuu kwao nikupata ujumbe kutoka Kwa walio chini Yao kwamba watu wamejazwa magerezani Kwa kuwakosoa au kukosoa chama. Hii ndiyo furaha yao ila ipo SIKU Mbowe atakuwa Huru may be wao watakuwa ardhini au yeye atatangulia mbele ya haki ila hukumu ya kuzimu itaambatana nao. Endelee kuhifadhi funguo za gereza mje kuzipiga mnada Mbowe akiwa hayupo
 
Hizi kelele zinazopigwa mitandaoni kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe Kama tungezielekeza kwenye kudai katiba mpya ingependeza zaidi
 
Huna ulijualo hiyo katiba ndio imemletea ugaidi wa mchongo kwahiyo tunasimamisha yote atoke kwanza.
Hizi kelele zinazopigwa mitandaoni kuhusu Freeman Aikaeli Mbowe Kama tungezielekeza kwenye kudai katiba mpya ingependeza zaidi
U
 
Nyie watu akili zenu zilishawaruka. You are out of your minds. Utawezaje kumliganisha huyo kigaragosi wenu DJ na watu kama Mandela, Nkuruma, Nyerere etc? Hawa walipigania uhuru wa nchi zetu zilizokuwa makoloni ya wazungu.

Huyo DJ wenu anapigania kupata urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa njia chafu ya kigaidi. Ni mhaini na lazima sheria iachwe ichukuwe mkondo wake dhidi yake.
 
Nyie watu akili zenu zilishawaruka. You are out of your minds. Utawezaje kumliganisha huyo kigaragosi wenu DJ na watu kama Mandela, Nkuruma, Nyerere etc? Hawa walipigania uhuru wa nchi zetu zilizokuwa makoloni ya wazungu. Huyo DJ wenu anapigania kupata urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa njia chafu ya kigaidi. Ni mhaini na lazima sheria iachwe ichukuwe mkondo wake dhidi yake.
Mbowe si gaidi.
Mbowe si mhaini.
Mbowe anapigania ukombozi wa kweli wa pili kutoka kwa shetani CCM.
Tatizo lenu CCM ya sasa ni vilaza.
Hamuwezi kupingana kwa hoja.
CCM ya sasa ni genge la kihalifu linalotumia dola.
 
Nyie watu akili zenu zilishawaruka. You are out of your minds. Utawezaje kumliganisha huyo kigaragosi wenu DJ na watu kama Mandela, Nkuruma, Nyerere etc? Hawa walipigania uhuru wa nchi zetu zilizokuwa makoloni ya wazungu. Huyo DJ wenu anapigania kupata urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa njia chafu ya kigaidi. Ni mhaini na lazima sheria iachwe ichukuwe mkondo wake dhidi yake.
Dr thakili not akili
 
Back
Top Bottom