Katika kukiri JF inawafanya wengi wasilale speaker hii paschal mayala imetumika ku amplifayi kuwa JF wamejaa walalamishi msipinge tu. Katika mtazamo huu anaingia kundi moja la yule mama wa...
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi bwana James Mbatia akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Leo hii ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali yaliyojitokeza kwenye hotuba ya Rais na...
Hivi ni nani alisema SGR iende kwanza Mwanza badala ya Kigoma kwanza
Yaani tunaiacha Congo DRC na Burundi tunajenga reli kipaumbele kwanza ni Rwanda yenye watu milioni 9?
Unaacha kupeleka reli...
Kusema nchi itapigwa mnada na mtu mkubwa mwenye taarifa nyingi kuhusu nchi haitoshi kuwachochea watu wavunje Sheria?
Haitoshi kuwatia watu taharuki na hofu kubwa? Haitoshi kuchocbea mapinduzi...
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo...
Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa.
Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia...
Ameshaweka wazi kuwa serikali ya Ccm chini ya hayati Magufuli ilitaka kumuua hadharani. Lakini pia amedai kuwa Mama samia kama rais wa JMT hajafanya jitihada zozote kuhakikisha kuwa anafanya...
Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi.
Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu...
Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi...
Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo...
Hii nchi inavituko sana ndio maana la saba wameamza kudai PhD na wao maana hatuoni hata tofauti ya wasomi na wasiosoma.
Wasomi wanapokuwa nje ya siasa pengine huonekana wanaperform vizuri lakini...
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo...
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia...
Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha.
Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya...
Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya...
Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa...
Ndugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap...
Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala.
Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.