Vijana waCCM wanajiona kuwa wao ni special kuliko watanzania wengine.
Yaani wanaweza kujitokeza hadharani kutoa hata vitisho kwa watanzania wenzao.
Alafu wakijitokeza kuongea wanaongea kama...
Hivi hatuwezi kurejesha utaratibu wa Mwl Nyerere na Abeid Karume kuhusu mfumo wa muungano ambapo Rais wa Znz ndiyo lazima anakuwa Makamu wa Rais wa JMT?
Rais wa JMT akitoka Znz basi Makamu wake...
Wakuu
jana nilifuatilia hotuba zilizokuwa zinaitwa hotuba za Taifa zote mbili, lakini ukweli ni kwamba hotuba ya taifa ilikuwa ni moja tu kutoka kwa rais wa Samia Suluhu
napenda kuwakumbusha...
Hapo nyuma tumeona jinsi Kamati ya Maadili ya Bunge ilivyokuwa na nguvu. Baadhi ya Wahanga wake ni Pascal Mayalla, Zitto, CAG aliyepita, Gwajima na wengine wengi. Hapo nyuma tuliona jinsi watu...
Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa...
Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama.
Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo...
Kutokana na mamlaka aliyonayo spika na bunge dhidi ya serikali nilitarajia serikali ije haraka na ufafanuzi wa yale aliyosema spika. Badala yake tumeshuhudia mtu kutoka kwenye chama akimshukia...
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya siasa zilizopita, huku kukiwa na habari za wananchi mbalimbali magerezani kwasababu za kushiriki demokrasia Nchini.
Sasa ni wakati wa kuwataja hadharani ili...
CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu.
Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji...
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.
Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba...
Kutokana na mamlaka aliyonayo spika na bunge dhidi ya Serikali nilitarajia serikali ije haraka na ufafanuzi wa yale aliyosema spika.
Badala yake tumeshuhudia mtu kutoka kwenye chama akimshukia...
Nimeona wengi wamekua na mkanganyiko sana kuhusu deni la taifa, lakini hii naona ni changamoto kwa wanahabari.
Wanahabari wanapaswa kuweka sawa ila hawajafanya hivyo kwa sababu wanazojua wao na...
Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao.
Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote...
Sina Shaka nyie ni Madaktari pia mliopitia mafunzo haya magumu yatakayo moyo na maamuzi magumu kuchukua fani hii.
Naomba mjitokeze na mtoe ufafanuzi kuhusu mitiani ya Madaktari wetu wanaomaliza...
Kwa mujibu wa Zitto Kabwe mkopo wa ujenzi wa SGR tuliokopeshwa na benki ya Kibiashara tumepewa kwa riba inayoitwa nafuu ya 9% kwa muda wa miaka 20.
Nimejaribu kuichakata kujua hayo malipo...
Leo nimepata Habari za kustusha sana. Makampuni ya chuma ya China, Urusi na Uturuki yamehonga baadhi ya watendaji wa Serikali ya Awamu ya Tano kuchelewesha Mradi wa Mchuchuma na Liganga mpaka...
Chadema Singida Makamu Mwenyekiti kanda ya Kati Bi. Aisha Yusufu Luja anaripoti kuwa viongozi wawili wa CHADEMA wamekamatwa wakiwa wamevaa T-shirts za Tundu Lissu zilizoandikwa PRAY FOR LISSU...
Zitto Kabwe:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu...
Hata kama Bunge limepatikana kwa njia ovu, hata kama Ndugai alifanya makosa mengi wakati wa awamu ya 5, lakini bado ana nafasi kubwa sana ya kuweza kuchangia katika kuweka mstakabali muhimu wa...
Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.