Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani...
15 Reactions
108 Replies
8K Views
Waziri wa ardhi mh Lukuvi amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla mpango mpya wa ujenzi wa jiji hilo. Lukuvi amesema ndani ya Dar es salaam itajengwa miji midogo ya kisasa 25 na...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwanza naomba niipongeze Serikali kwa ujenzi wa miundombinu katika majiji yetu ni jambo zuri kuonyesha kodi zetu zinatumika ipasavyo, Dar es Salaam na majiji mengine imekuwepo miradi mikubwa na...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Mfumo wetu wa ajira unaeleza kuhusu sifa za mwomba ajira na unafafanua hadi timu ya usahili. Ni mfumo mzuri na Dunia nzima inautumia. Kilichotokea Tanzania Leo wazazi wamekosa uvumiliv, hauna...
5 Reactions
3 Replies
760 Views
Kwa nyakati tofauti nchi yetu imekuwa ikikopa kutoka taasisi za fedha ndani {Mabenki ya biashara,mifuko ya hifadhi za jamii na Taasisi za fedha za nje ya nchi {IMF,Benki ya Dunia,EXIM Bank...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi, Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini...
30 Reactions
299 Replies
32K Views
MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Baraza la Vijana @ChademaTz (BAVICHA) kesho Januari 04, 2022, saa tano kamili asubuhi litazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeridhia pingamizi lililowekwa na mawakili wa upande wa utetezi wakipinga shahidi wa 13 wa Jamhuri Ramadhani Juma(39), kuzitolea ufafanuzi video za CCTV wakidai...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Iko kama "The Comedy" tu: US puts Tanzania, five other countries on travel red list Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra. Wengine wanapambana na hali...
12 Reactions
119 Replies
9K Views
Hakuna kitu kibaya kama kumtegemea mwanadamu hawa ndugu hawaamini kama Hayati Magufuli ameondoka milele na mipango yao imeshindwa. Nawaomba wabunge kwa kuwa Ndugai hataki kuonesha heshima kwa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya...
15 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu Napenda kuchukua nafasi hii kuzungumzia kitu kidogo kimuonekano lakini ni kikubwa sana kwa kukifikiria kwa kina. Kitu chenyewe ni ukweli kutoka kwa viongozi wetu, nahisi...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la...
26 Reactions
471 Replies
30K Views
ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia Akaja Polepole na Shule ya Uongozi Wanaharakati wao wa Facebook...
12 Reactions
53 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Dear Members, Heri ya Mwaka Mpya 2022, Leo nikiwa nafanya ibada ya asubuhi nikiombea Nchi yetu pamoja na viongozi wake, Neno la Bwana likanijia kwa sauti ya upole likisema ..ewe Mwanadamu, andika...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Back
Top Bottom