MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa...
Wapo wapuuzi wanao mdharau Ndugai wakidhani ni mtu wa kawaida mno na kwamba hana madhala-wanajidanganya pakubwa!
Sasa mchezo unaanza rasmi...
...90% ya watendaji wote Serikali hasa wateule bado...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021...
Gazeti la the citizen leo limekuja na taarifa inayoonyesha kuwa Tanzania imetajwa na tovuti moja kutoka Marekani kuwa ni moja ya nchi 5 bora kwenye utalii ikiwa na vivutio bora kabisa duniani kama...
Shughuli hii Muhimu sana itafanyika Kwenye Makao Makuu ya Chama hicho , Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , tarehe 4/1/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi .
Wote mnakaribishwa ...
Mimi kwa sehemu yangu kama mtanzania, nimemsamehe Spika Ndugai... Ni jukumu langu la kikristo kusamehe 7 ×70 =490
Hiyo ni misamaha mingi sana, hivyo awe ameomba kwa nia ya dhati au...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amesifu ujenzi wa madarasa ya kisasa 112 yaliyojengwa kwenye Halmashauri ya Kongwa jijini Dodoma uliofadhiliwa na fedha za mkopo...
Wanasheria na wadau mbalimbali naomba mnisaidie kufungua kesi dhidi ya hao wabunge 19.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo pamoja na ubovu wake lakini inasema mbunge lazima atokane na chama cha siasa...
Kauli ya kusema kuwa watu wa nje tunawahitaji kuliko wanavyotuhitaji imetamkwa kwa zaidi ya mara moja na Rais Samia Suluhu. Kauli hii inashida kidogo na tunahaja ya kuhakiki kama ni kweli kuwa...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu...
Binafsi sijapendezwa na kauli za baadhi ya viongozi waandamizi zinazokinzana na matendo na maamuzi ya mheshimiwa rais.
Viongozi mna nafasi kubwa ya kukutana na rais na kumshauri masuala...
Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka.
Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko...
Moja ya jambo kubwa lililokua likisubiriwa na wengi ni pale ambao mihimili mitatu itajionesha wazi.
Pia ni pale ambao bunge litakuwa na kazi ya kuisimamia serikali bila wasiwasi Wala shida...
Na
Jesca Lutego
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ACT Wazalendo Taifa Abdul Nondo, akiongea na vijana katika mkutano wa Naibu katibu Mkuu Ndug. Joram Bashange
Aidha Abdul Nondo , ameelezea...
Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na...
Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya...
Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha...
Deni la taifa kila rais anayeingia analiongeza kwa urefu na upana anaotaka.
Kama MKAPA trl 23, KIKWETE Trl 20 na MAGUFULI Trl 29 ukijumlisha hao tu unapata 72 na sasa tunaambiwa deni ni maeneo ya...
Kuna mijadala inaendelea hapa jamvini kuhusu kauli ya Spika Ndugai kuhusu mikopo na wengi wameichukulia kama anaikosoa Serikali ya Samia
Ila kama ukisikiliza kwa makini, Ndugai alikuwa akiiunga...
Changamoto kubwa itakayomkabili Samia Suluhu ni Uzanzibari wake.
Makundi mengi ndani ya CCM hayapendezwi Tanzania kuongozwa na wazanzibari wote, yaani Rais wa Muungano ni Mzanzibari na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.