Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukweli ulio wazi ni kuwa Kuna baadhi ya vitu hata kama umeandikiwa, kwa harakaharaka ukisoma tu unaona havina sense, sio kweli. Pia Mara nyingi kabla ya kwenda public, huwa like ulichoandikiwa...
18 Reactions
47 Replies
4K Views
Bahati nzuri ikulu imemuumbua kwamba yeye anatetea hata kitu Cha kijinga ilimradi kina maslahi ndani yake. Hilo swala la figure kukosewa yeye ameshakuwa msemaji wa serikali na kuona ndo ukweli...
2 Reactions
7 Replies
821 Views
Kwanza nimecheka sana , tangia niingie 2022 sijacheka hivyo, maoni ya wadau ni hatare kwakweli. Ila nafikiri mataifa yetu Afrika kwa asilimia kubwa ni magumu sana kisiasa sababu nadhani tumebase...
0 Reactions
11 Replies
893 Views
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya. Kikwete...
17 Reactions
169 Replies
16K Views
Mimi nashindwa kuelewa sijui hua ni ibilisi gani anatua kwenye chama chetu? Niwaulize tena wanaCCM wenzangu,Spika Job Ndungai amekosea nini kiasi cha kumtolea maneno makali katika kila angle ya...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania. Global Partnership for Education ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
UJIO WA TUNDU LISU UTAWAUNGANISHA CCM. Anaandika Robert HERIEL. Kheri ya Mwaka MPYA Ndugu zangu. Nimesikiliza Hotuba zote mbili za viongozi wetu. Hotuba ya Rais wetu Mama Samia Suluhu, kisha...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu...
15 Reactions
147 Replies
16K Views
Ukisikiliza kinachoongelewa juu ya mikopo ya nchi Kwa sasa,unagundua kuwa serikali ilianzisha miradi mikubwa kama SGR,Kwa fedha ambazo hazikuwepo. Yaani ina maana serikali ilitegemea itakopa ili...
1 Reactions
4 Replies
646 Views
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi...
21 Reactions
197 Replies
21K Views
Naona jamaa walikua na shauku ya kusikiliza hotuba labda raisi atawagusa walio magerezani,lakini baada ya kukosa wameanza kuponda kuwa hotuba si nzuri basi kwa taarifa yenu hii ni hotuba bora...
1 Reactions
9 Replies
899 Views
Mwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili...
8 Reactions
64 Replies
8K Views
Mimi sio mbobez wa siasa ila ninachokiona kwenye Chama changu cha Mapinduzi kinajenga picha ya fukuto kubwa lililoko ndani ya chama Mbowe kama una mshaur mzur 2025 usisusie uchaguz hata kama...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu. 1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea...
28 Reactions
94 Replies
5K Views
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kelele zimekuwa nyingi Sana na upinzani hasa Chadema wanaonekana kumiliki agenda nyingi kila Kona , wanaonekana Wana wafuasi wengi sana mitandaoni Jambo linalokwamisha ujumbe wa serikali na CCM...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom